Hapo kwa Barnaba nimekuelewa maana Barnaba pengine hana kile kinaitwa bahati maana yule ni mtunzi mzuri na pia ni muimbaji mzuri sana kuwai kutokea...Na ukitaka kuamini hayo uliza ni nyimbo gani amewatungia watu na zimefikishwa wapi? Watu wote alio watungia nyimbo wamepiga hela mfano Vannesa,Rubi,Peter msechu,Dyna Nyange,Shilole..Wote hao kila wimbo alo watungia zimekuwa hit kali.Kuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi huu una lengo la kuwatambua na kuwapa saluti yao. Naanzia hapa na wewe ongezea!
Dyna Nyange
Grace Matata
Barnaba Boy
Ongezea sasa........
This is what we call insanity!lava lava
Anyoe rasta atakubalika [emoji3] [emoji3]Hapo kwa Barnaba nimekuelewa maana Barnaba pengine hana kile kinaitwa bahati maana yule ni mtunzi mzuri na pia ni muimbaji mzuri sana kuwai kutokea...Na ukitaka kuamini hayo uliza ni nyimbo gani amewatungia watu na zimefikishwa wapi? Watu wote alio watungia nyimbo wamepiga hela mfano Vannesa,Rubi,Peter msechu,Dyna Nyange,Shilole..Wote hao kila wimbo alo watungia zimekuwa hit kali.
Mwanzo nilidhani tatizo management na promo lakini I was wrong maana Barnaba alishakuwa chini ya THT ya Clouds na promo alipewa sana na kila media humpa support lakini wananchi hawampokei ipasavyo...
Kwakweli hadi leo sijawai pata jibu kwanini Barnaba hakui kimuziki?Nabaki kusema kuwa hana bahati jambo ambalo uwezi kulieleza au kulitolea ushahidi.
Ninachoweza kusema tuu ni kuwa Barnaba pole sana.
Alibahatisha kwenye free soul baada ya hapo hakuna cha maana alichofanyaGrace matata...yupo vizur sana.
Rama DeeKuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi huu una lengo la kuwatambua na kuwapa saluti yao. Naanzia hapa na wewe ongezea!
Dyna Nyange
Grace Matata
Barnaba Boy
Ongezea sasa........
Huu jamaa miaka yote ni upcoming... Daah...Ali kiba
Kitu cha free soul hatari sana na ile chorus ya nyakati za mashaka ft nikki mbishiGrace Matata hatari sana Kitu cha Free soul wengine ni
Rama dee
Troll JF
Nikki Mbishi
One Incredible
Sterio
Maua Samma
Barnaba boy ni mzuri kwenye utunzi.Hapo kwa Barnaba nimekuelewa maana Barnaba pengine hana kile kinaitwa bahati maana yule ni mtunzi mzuri na pia ni muimbaji mzuri sana kuwai kutokea...Na ukitaka kuamini hayo uliza ni nyimbo gani amewatungia watu na zimefikishwa wapi? Watu wote alio watungia nyimbo wamepiga hela mfano Vannesa,Rubi,Peter msechu,Dyna Nyange,Shilole..Wote hao kila wimbo alo watungia zimekuwa hit kali.
Mwanzo nilidhani tatizo management na promo lakini I was wrong maana Barnaba alishakuwa chini ya THT ya Clouds na promo alipewa sana na kila media humpa support lakini wananchi hawampokei ipasavyo...
Kwakweli hadi leo sijawai pata jibu kwanini Barnaba hakui kimuziki?Nabaki kusema kuwa hana bahati jambo ambalo uwezi kulieleza au kulitolea ushahidi.
Ninachoweza kusema tuu ni kuwa Barnaba pole sana.
Hakuna mkali wa R&B Tz kama rama D.
Sema nae katokomea ughaibuni.
povu...This is what we call insanity!
Barnaba kuna upande ambao yuko underrated na upande ambao yuko fairly-rated, upande ambao yuko underrated ni wa mashabiki, mapokeo ya kazi zake kwa mashabiki sio makubwa kihivyo ingawa sio madogo pia, ila kwa upande wa media zinampa promo za kutosha na sio clouds tu karibu media zote, na yuko well appreciated na wasanii wenzake as well as watangazaji nimekuwa nikiona wakimsifu mara kwa mara. Kwahiyo naweza sema kuna vitu wasanii wenzake & watangazaji wanaviona kwa Barnaba ambavyo mashabiki wengi wanashindwa kuviona. Kwa upande wangu namkubali Barnaba kwenye utunzi na uimbaji, ila ananiboaga jukwaani tu, ni miongoni mwa performers wabovu sana, hajui kuentertain awapo jukwaani, mimi huwa namkata maksi hapo tu!Hapo kwa Barnaba nimekuelewa maana Barnaba pengine hana kile kinaitwa bahati maana yule ni mtunzi mzuri na pia ni muimbaji mzuri sana kuwai kutokea...Na ukitaka kuamini hayo uliza ni nyimbo gani amewatungia watu na zimefikishwa wapi? Watu wote alio watungia nyimbo wamepiga hela mfano Vannesa,Rubi,Peter msechu,Dyna Nyange,Shilole..Wote hao kila wimbo alo watungia zimekuwa hit kali.