Underground vs Wakongwe wa JF

Underground vs Wakongwe wa JF

Mimi navuta oxygen tu
unavuta ugoro au shisha? Maana asubuhi hii ushaanza kuwa na wenge kweli viroba vipigwe marufuku
au labda bado una hangover ya facebook? ila post zako zinasaidia kutoa stress sometimes.
 
au labda bado una hangover ya facebook? ila post zako zinasaidia kutoa stress sometimes.
Nakula nalala kwa mama...hangover itoke wapi?
Siposipo FB .....
Style yangu ni kiburudani zaidi ndo mana nmesema "Ukinuna ...ww ni mchawi"
 
Back
Top Bottom