Under NACTE mbona hatuthaminiki

jaman mimi nmefungua profile hakuna lolote ila CAPACITY ni:
first choice - 86
2nd choice - 230
3rd choice - 96
4th choice - 102
hii inamaanisha nn jaman mi nishachanganyikiwa
 
jaman mimi nmefungua profile hakuna lolote ila CAPACITY ni:
first choice - 86
2nd choice - 230
3rd choice - 96
4th choice - 102
hii inamaanisha nn jaman mi nishachanganyikiwa

Bado subiria selection
 
Jaman kwangu naona hivi,bado kuna posibility ya kuchaguliwa?
 

Attachments

  • 1444373679072.jpg
    66.9 KB · Views: 435
Jaman kwangu naona hivi,bado kuna posibility ya kuchaguliwa?

Dah mkuu hapo hakuna uwezekano wa kuchaguliwa kka badilisha hiyo yenye capacity kubwa ndio iwe first kka
 
jaman mimi nmefungua profile hakuna lolote ila CAPACITY ni:
first choice - 86
2nd choice - 230
3rd choice - 96
4th choice - 102
hii inamaanisha nn jaman mi nishachanganyikiwa

Kama profile yako ina neno updates jua application yako bado bado
 
habari zenu wakubwa,kwa ambao tumeshakua selected na nacte kuna baadhi yetu tumekua tukisubir uthibitisho toka chuon cha kushangaza mm niliekuwaselected na nacte udsm nilkua nikisubil uthibitisho toka chuon cha kushangaza udsm wametoa majina third round ila jina langu halipo ,ama ndo watatenganisha kama saut diploma holder na form six .mwene uelewa juu ya hilo tafadhali
 
yan kweli atuthaminiki ata sijui inakuaje yan sasa huo uthibitisho tutapata lin kama thrd round ishatokaaa dah hii ndo tanzania yetu bhna kila kitu akieleweki yan....
 
watatoa tu mkuu hata mie nasubiria hpohpo tuwe na subra sema wanatakiwa watoe mapema maana chuo kinafunguliwa trh 31 mwez huu
 
nimepokea email leo kutoka awards@nacte.co.tz headed
Dear seleman nasoro
ALREADY ATTENDED

wanamaanisha nn hapo
 

umerdia kuomba wakati ulishaaomba na umekuwa SELECTED hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…