Uncle Ben autamani tena Urais

Uncle Ben autamani tena Urais

tamaa mbaya..

yeye ameona watanzania wote yeye arudie yeye nani

Tena watu wengi tu..hakuna kuridia urais ...ko
 
Ni kweli kwamba Ben ni bora kuliko huyu jamaa, LAKINI, marais wezi hatuwataki. atatuambia nini na skendo zake za mikataba ya dhahabu, ugenishaji wa viwanda na mashirika yetu, Kiwira nk. To hell with you Ben. We need to move on instead of trying to pick someone from the recycle bin.
 
Back
Top Bottom