unbelievable! Fungua unune

unbelievable! Fungua unune

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
29
Hakuna kitu jamani, I jes wanted you pipo to realize my return!
 
Si uende kule FB kwa watoto wenzio mkacheze anadoo
 
Wenyeji hivi na huyu anaishi humu ktk hause of great thinkers au ni jirani yenu maana mimi ni mgeni.
 
Wenyeji hivi na huyu anaishi humu ktk hause of great thinkers au ni jirani yenu maana mimi ni mgeni.
uyu jamaa naic n msafir sasa kasimama station akapata chance ya kupost
 
Nilijua kuwa mtanuna na ndio maana nikasema fungua unune! kwani nyinyi watu mna shida gani yaani nyinyi mkiandika inakuwa powa ila mi nikiandika mnapasuka, tumieni busara
 
labda walidhan unatania kumbe uko serious. Hapa ni utani mkuu.......great thinkers tu ndo wataelewa.
 
Now i se why ulisema Fungua Unune..................And surprisingly Wafunguaji wamenuna kweli
 
Kiukweli umemaanisha hapa hakuna ubishi.Hongera cna kwa kukamilisha haja yako.
 
Mh! Mbona nahc njaa tena wakati nmekula kabisa?!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom