Unazuiaje hasira zako?

Unazuiaje hasira zako?

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Habar!

Mwenzenu nikishikwa na hasira huwa nang'ata meno then napotea kwenye tukio huwa sina maneno mengi, baadae narudi kuyazungumza kwa amani.

Wewe jeee?
 
Mimi hukaa kimya tu. Na ni mkarimu sana. Ila ukiendelea kunitibua unaipata habari yako.
 
mimi huwa naenda bar mpaka ninywe bia 20 ndiyo zinaisha
 
nakua kimya na machozi unitoka kwa wingi mno,badae ndo nakua sawa tena
 
dah sijuagi kukasirika aisee, thanks God for that
 
I light match sticks and dip them in the water, savagely. That's OG. Real talk.
 
Machoz tu hunishuka, na nisiongeleshwe muda huo maana naweza nikakung'ata tn pakubwa
 
Huwa nikiwa na hasira naumia sana hivo best solution huwa nalia kupunguza maumivu na huwa inanisaidia coz nkishalia bas yanaisha naendelea na mambo mengine.
 
Natafuta wa kumsimulia hasira zangu, basi nakua poa....nlikuaga nalia ila nkaona ni usengerema
 
Back
Top Bottom