Unazuiaje hasira zako?

Unazuiaje hasira zako?

daah huwa machoz yanatok naliaaa then mpk nipitiwe usingiz,nikiamk zimeishaaa, am nikupige,tu the nitalia alafu napotezeaaaaa ama nakuwach nikirud inakuwa poaa tuu
 
Natoka, natafuta expensive restaurant nakula pizza ama kingine kizuri, nikirudi nipo ok.
 
huwa natafuta maji ya kunywa tu nakuwa mpole ila akitokea mtu akaanza kunikumbushia tukio lililosababisha kupandwa na hasira huwa nageuka katili mithili ya nyati aliyejeruhiwa kinachoonekana mbele ya macho ni halali kukupiga nacho mpaka damu itoke ndo napoa
 
nampasua jebb namalizia right punch hasira kwishaa
 
Natafuta topic nguvu na kuanza kuisoma ili asira ziishe
 
Duu mimi huwa ni hatari nikikasirika kwanza natetemeka machozi rangi ya ngozi inabadilika huwa siongei kama uko karibu yangu haki ya nani
Unakua halali yangu duuu hasira mbaya sana sipendi hasira cz i loose control baadae najutiaga nilichofanya
 
Back
Top Bottom