Unazuiaje hasira zako?

Unazuiaje hasira zako?

Natembea kwa speed ya Hatari,mpaka huwa naitwa ndege ya chini.Nikitembea kama km10 hivi kwa haraka hasira yote inaisha.
 
mie nikiwa na hasira nakuwa mpole sana na machozi yakinitoka then narudi kuwa kawaida.
 
Njia nzuri....
1.Kunywa maji ama
2. Hesabu kuanzia 100 kurudi hadi moja ama
3. Ondoka eneo la tukio mara moja ama
4. Sali; hii ndiyo kubwa kuliko zote
 
kwa msimu huu wa uchaguzi nikiwa na hasira nachukua kichinjio changu nakiangaliaaaa then nakirudisha mahala pake alafu nazisave hizo hasira kusubiria tarehe husika
 
Natafuta kimiminika chochote kilichoandikwa not for sale to person under 18.
 
Namie nikikasirika natamani papuchi laiti tungalikutana ndoani nadhani viungo vya uzazi vingeisha kama sabuni maana tungebanyana balaa!


tehtehteh ujue mkishapeana tunda kawaida mnaishia kukumbatiana kwa ukaribu nakulala hata kama ni mchana, sasa mkiamka mmekumbatiana kuna ugomvi tena hapo umeyeyuka kama barafu juani
 
Back
Top Bottom