Niliipenda sana tamthilia ya passion,kwanin ITV wasiirudie tena?
Itv
____
1. Ile movie ya "V"
2. ile ya vicent jitu lenye sura ya simba
3.Mchezo wa kenya " Tausi"
4. Tamthilia ya mauaji "tahamaki"
5. Sumbi na bocha
6. Nyota ensemble
7. Mzee jongo na bi nyakomba
Ctn
____
1. Vituko vya mzee small "cheka na ctn"
Dtv
_____
1.Kitimoto cha pascal mayala
Mimi namiss ucheshi wa 'Cheka na CTN' ft. Mzee Small, Bi Chau na Tupatupa.