Unazikumbuka enzi hizi?

Unazikumbuka enzi hizi?

Kwa kweli maisha tuliyafaidi... acha tu tuteseke siku hizi
 
great memory...great flashback....big up sana!
 
kweli tumetoka mbali,i wish ningekuwepo enzi hizoooooo..too bad my parents ndo waliinjoi
 
Enzi hizo ulikua ukipiga picha kama hizi hata kama umejipaka marashi ya namnagani lazima hiyo picha ikitoka inatoka na harufu hiyohiyo!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
GONE THOSE OLD SWEET DAYS. Old is Gold.

Enzi hizo mitaa ya Tabora ni Tabora Jazz na Nyanyembe (Kinda langu la rangi ya chungwa).
 
aisee hakuna fisadi naona wote hawana vitambi viambatanishi naona wote maTUMBO YAKO FLAT
 
uuwii mbavu zangu mie! anyway big up 'braza meni' kwa hizo foto. Sasa tunasubiri zile za watu waliopiga wakiwa na redio
 
Kwa kweli maisha tuliyafaidi... acha tu tuteseke siku hizi

Imeandikwa katika Biblia; kuna wakati kwa kila jambo; wakati wa kucheka na kulia; kupanda na kuvuna; kuzaa na kufa nk.

Ukweli ni kwamba wakati uoneshwao katika picha hizi ulikuwa MZURI SANA KIMAISHA na wenye misukosuko kidogo sana ukiliganisha na leo.

Missing the OLD GOOD OlD DAYS!
 
Nazikumbuka sana.
nilipiga picha moja na maskulimeti wangu Mtwara tech, kwenye kastuli kuna maandishi
forget me not. Ahaa maisha ndivyo yalivyo. kuna kupanda na kushuka.
 
Wewe kweli wa juzi.
Hizo si mkulima, ni National Panasonic radio cassete. Zilikuwa nzito kama kilo tano havi, japo unavyoona ni fupi.
hivi hizo redio mkulima zipo kweli siku hizi.....?
 
Back
Top Bottom