Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Basi wafanye kuweka rangi tofauti kuliko kukataNadhani ni kwa sababu watu wengine si waaminifu wanaweza kuondoka nazo
Basi wafanye kuweka rangi tofauti kuliko kukataNadhani ni kwa sababu watu wengine si waaminifu wanaweza kuondoka nazo
wanakata kwa sababu wengi wakishangonoka chap chap wanajifanya kwenda kuoga na hawarudishiNafuu umesema kwann wanakata ss
Hahahaha wanafidia pesa yao kumbe hatariwanakata kwa sababu wengi wakishangonoka chap chap wanajifanya kwenda kuoga na hawarudishi
sasa mtaani au majumbani zianajulkana ni za Guest aua hata unaweza kukuta wameweka za kushoto tu.
Pia hata wale wenzetu wa Kabila fulani huwa wanachanganya na mizigo yao km kufidia gharama za Guest kwani hata visabuni hawaachi wanabeba
Sijui nilekebishe hiki kiingilishiThen, you are still to young to knows
The fact kwamba hujui hizo ndala zinapatikana wapi Basi we ni wa kishuaUnajuaje huenda ni choka mbaya mmoja tu hapa duniani
Mkuu ulikuwa gest.. Hapo naona umekuwa mwepesiii
Sema kanda mbili za danguroniSema kanda mbili za LODGE
Basi wafanye kuweka rangi tofauti kuliko kukata




wale wahenga kwenye pitapita lodge bubu zipo mbona rangi tofauti ni sehem na sehem.Wanavaa watu wa namna gani?? Mimi nakumbuka udogoni tulikua tunakata ndala ili tukienda kucheza mpira tusiibiane
Hujawahi enda guest na mpenzi wako umpendayeZmenunuliwa zikiwa zmekatwa au mtu kakata?! Sio batabata hizi?
Atakuwa ametolewa nduki akasahau viatau vyake ikabidi aje na hozo za guestiUkimuona mpenzi wako amevaa za hivyo alafu akawa anatokea njia ya uchochoroni, basi mtilie mashaka
Kama umezikuta lodge ukiwa safarini bado mbinguni kutakuwa mbali?
Wepesi wa mwili au wepesi wa miguuniMkuu ulikuwa gest.. Hapo naona umekuwa mwepesiii
Mtaalamwale wahenga kwenye pitapita lodge bubu zipo mbona rangi tofauti ni sehem na sehem.
anza Kiswahili kwanza maana hata kisukuma hakuna niyoSijui nilekebishe hiki kiingilishi
au ngoja nipite kimya kimya
Naanza na kiingilishi baadae nakuja na kiswazianza Kiswahili kwanza maana hata kisukuma hakuna niyo
Wanakata sababu kuna raia sio waaminifu hawashindwi kutia kwenye begi kuondoka nazoNafuu umesema kwann wanakata ss