Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Bado kiza kinene...mkuuUkimuona mpenzi wako amevaa za hivyo alafu akawa anatokea njia ya uchochoroni, basi mtilie mashaka
Bado kiza kinene...mkuuUkimuona mpenzi wako amevaa za hivyo alafu akawa anatokea njia ya uchochoroni, basi mtilie mashaka
Unanicheka........![]()

Mkuu, hii comment yako itavuruga maana nzima ya huu Uzi na bila kutafakari tayari umeleta tafrani humu...Hata vyoo vya misikitini huwa wanakata kandambili kama hivyo.
Hapana habibi, nilijikuta nimewaza na kisha nikafurahia tuUnanicheka![]()
Washa tu taa, maana hakuna namnaBado kiza kinene...mkuu
Sema kanda mbili za LODGEHizo si kandambili? Kwanini zimekatwa hivo?
Kumbe!!!! Basi sawaHapana habibi, nilijikuta nimewaza na kisha nikafurahia tu
Nafuu umesema kwann wanakata ssSema kanda mbili za LODGE
Ukubwani tuna kata ndala ili tusijulikane wapi tunatoka wapi tunakwendaWanavaa watu wa namna gani?? Mimi nakumbuka udogoni tulikua tunakata ndala ili tukienda kucheza mpira tusiibiane



Naongezea,Nafuu umesema kwann wanakata ss
Wanaiba mpaka huko?! HatarNaongezea,
Wahuni wanapitaga nazo kutia hasara
Hahaha,itakua haingii guest za buku tenHow old are you..??
We ni wa kishua mkuuZmenunuliwa zikiwa zmekatwa au mtu kakata?! Sio batabata hizi?
Sikujua kama lengo ni kuzungumzia habari za gesti tu,nafikiri kila mtu alipoiona hiyo picha mawazo yake yameenda kule alipo na uzowefu nako hivyo sidhani kama wote humu ni watu wa magesti.Mkuu, hii comment yako itavuruga maana nzima ya huu Uzi na bila kutafakari tayari umeleta tafrani humu...
Kimsingi, hapakuwa na haja ya kuleta mambo ama maneno yanayo husu imani na nyumba za ibada kama haikuwa lazima
Nadhani ni kwa sababu watu wengine si waaminifu wanaweza kuondoka nazoNafuu umesema kwann wanakata ss
Unajuaje huenda ni choka mbaya mmoja tu hapa dunianiWe ni wa kishua mkuu