CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hao westlife walikuwa komesha. hawakuwai kutoa wimbo mbaya.
Nnsyc niwajulia sana sana kwenye This i promise.
Raha ya wstlife nyimbo zao fupifupi so ni rahisi kukariri
Hahahaa nakumbuka nilikua na counter langu la nyimbo nimelibandikaje stika za malovee,long time aisee lol!
haya makundi yalinifanya nimkose mwanamke mmoja,maana baada ya kumtokea akaniambia niimbie wimbo wowote wa Westlife ndipo nilipofeli.
Nalog off
Daaah.... Sis umenikumbusha enzi hizo kitu cha uptown girl ya westlife ikipigwa mie sikai chini ati kipindi hicho niko zangu primary hata kutamka (kidhungu) vizuri kinachoimbwa sijui ila naimba tu bora liende huku nikidance kwa kurukaruka.
Teh teh teh.... Sis usinambie enzi hizo ulikuwa primary, hebu nipe shikamoo zangu fastaaaaaaaaa!!!!!!
Raha ya wstlife nyimbo zao fupifupi so ni rahisi kukariri
Hahahaa nakumbuka nilikua na counter langu la nyimbo nimelibandikaje stika za malovee,long time aisee lol!
sis kwani we 2001 ulikuwa umeshaingia secondary? Nisije toa shkamoo ya bure
end of the road boyz to men