Unawezaje kutatua jambo hili?

Unawezaje kutatua jambo hili?

Ni siku fulani nzuri na tulivu, ikichagizwa na weekend kuingia

Moja kwa moja kwenye mada,

Ni hivi, ukiwa kama mwanaume halafu ukaletewa malalamiko na Dada yako wa damu yaani tumbo moja.

Kuwa hapati huduma muhimu toka kwa mumewe ambaye ni shemeji yako,namaanisha Chakula kizuri,mavazi na vitu vidogo vidogo vingi.

Ukaamua kumshauri Dada yako kwamba atulie/avumilie pengine jamaa anapitia nyakati ngumu kidogo hasa ukizingatia gharama za maisha zimeongezeka

Unaamua kumtetea mwanaume mwenzio huku ukiendelea kutoa msaada kadri ya uwezo wako kwa Dada yako,maana damu ni nzito kuliko maji.

Mwisho wa siku ukagundua jamaa ana mwanamke mwingine, mbaya zaidi wamekuwa wakitumbua pesa ovyo, bila msaada kwa familia yake halisi

Halafu dada yako hajui kinachoendelea, ukaamua kupiga kimya dada yako asijue huku ukimuhimiza azidi kumuelewesha mumewe hali ya hapo kwake.

Je, wanajamvi ni hatua ipi inapaswa ichukuliwe,

Kumbuka Kuna magonjwa, kusambaratika kwa familia na mengine mengi

Kumwambia dada pengine haiwezekani maana wanandoa wanajulikana usije aibika baadaye

Michango yenu ni muhimu.View attachment 2222924
Dada ajikite kwenye mambo yake….. alee wanae ndo furaha yake

mtafutie mchongo hapa town kama anasehem pakujishikiza aelekeze akili zake kule…….

Upande wa jamaa inabidi mumuache tu ni mtu mzima mkiendelea kumfatilia ndo linazidisha asee
 
Dada ako usimwambie

Yan usithubutu kuwachonganisha na kuwaingilia watu wawili wanaolala uchi pamoja…siku wakipatana sijui utaweka wapi huo uso wako.

Kama unajimudu mwambie huyo shemejio, mwambie dada ako kakupa ABC hizi na wewe nina ushahidi kuna mahali unafanya 123… then ongeeni kuanzia hapo..

What if Dada yake hatoi unyumba kwa Bwana ake....

Ujue Wanawake asimilia kubwa huwa wanapenda ku-play a Victim.... Mm binafsi Stori ya mwanamke huwa naamini kwa kiasi kidogo sana vile mara nyingi nimeona wana twist stories....halafu wao ndio wa kwaza kulalamika..

Jamaa angekausha tu,,, na hilo la mchepuko kama ana ushahidi aweke mazingira na Dada yake ajioneee then yeye akae kando awaachie wenye ndoa wamalize...
 
Mwambie ukweli shemeji yako kiutuuzima. Kwamba anazingua....
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Mapenzi siku hizi yashaisha watu wanatafuta pakutolea stress tu [emoji28][emoji28]
[emoji38][emoji38] na kweli,... Tatizo wanaopendwa ndo huwa vigeu geu
 
What if Dada yake hatoi unyumba kwa Bwana ake....

Ujue Wanawake asimilia kubwa huwa wanapenda ku-play a Victim.... Mm binafsi Stori ya mwanamke huwa naamini kwa kiasi kidogo sana vile mara nyingi nimeona wana twist stories....halafu wao ndio wa kwaza kulalamika..

Jamaa angekausha tu,,, na hilo la mchepuko kama ana ushahidi aweke mazingira na Dada yake ajioneee then yeye akae kando awaachie wenye ndoa wamalize...
Ahsante
 
Hakuna kitu muhimu kwa mwanamke kama ukombozi wa kifedha........


(Pili mwanamje unakuwaje na figa moja......joking )
 
Back
Top Bottom