guu jini
Member
- Jul 8, 2018
- 47
- 52
Usijali mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikatika hali ya kutambuanaUtakua una alegi na Sisi sio bure..
Usijali mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikatika hali ya kutambuanaUtakua una alegi na Sisi sio bure..
Poa kiongozi.Usijali mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikatika hali ya kutambuana
Sasa mbn hiyo lafudhi yako haielewek mkuuKwanza Rafudhi zao ndio kitambulisho tosha huwezi kutana na masai mwenye benzi ata kwa dawa.
"Lafudhi"="Rafudhi" duh na wewe mpaka hapo utakuwa Eidha Mkurya,Msukuma au MjitaKwanza Rafudhi zao ndio kitambulisho tosha huwezi kutana na masai mwenye benzi ata kwa dawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]"Lafudhi"="Rafudhi" duh na wewe mpaka hapo utakuwa Eidha Mkurya,Msukuma au Mjita
Hahaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwanza Rafudhi zao ndio kitambulisho tosha huwezi kutana na masai mwenye benzi ata kwa dawa.
baiskeli kubwaaaaaa n atenga la mayaiii lazima ujueeee tuuuu, ng'ombe wengi na maisha duniiii, lazima ujueee, kazi ya kuomba ombaa mijini lazima ujueeeeeee, mkuu hapo vipi??????????????Wasukuma ni rahisi sana kuwagundua kupitia vitu wanavyo miliki au wakiwa viongozi.
Hapo ndo ulipoishia..Wachaga, Wapare, Wasukuma na Wagogo huwa nawatambua kwa majina yao. Tena Wachaga kwa maumbo yao tu nawagundua haraka.
Wanyaturu, Wairaki , Wameru nawatambua kwa rangi zao na maumbo yao.
Wewe je?
Tuheshimiane kiongozi.Kwanza Rafudhi zao ndio kitambulisho tosha huwezi kutana na masai mwenye benzi ata kwa dawa.
Sawa suvaiTuheshimiane kiongozi.
Ili iweje?Wachaga, Wapare, Wasukuma na Wagogo huwa nawatambua kwa majina yao. Tena Wachaga kwa maumbo yao tu nawagundua haraka.
Wanyaturu, Wairaki , Wameru nawatambua kwa rangi zao na maumbo yao.
Wewe je?