Unawezaje kutambua kabila la mtu haraka haraka ?

Unawezaje kutambua kabila la mtu haraka haraka ?

Wachaga, Wapare, Wasukuma na Wagogo huwa nawatambua kwa majina yao. Tena Wachaga kwa maumbo yao tu nawagundua haraka.

Wanyaturu, Wairaki , Wameru nawatambua kwa rangi zao na maumbo yao.

Wewe je?
Mimi naweza hata kuwatambua kwa avarta na mwandiko. Kwa huu mwandiko tu nimeshatambua wewe ni kabila gani... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom