Unawezaje kumsahau mpenzi wa zamani?

Unawezaje kumsahau mpenzi wa zamani?

Lakini tutambue uo mtoto akizaliwa anataka apate haki kutoka kwa baba. Na mimi najijua kipato changu hakiniruhusu kuhudumia family mbili wakati moja.

We inaonekana una msimamo wa kumwoa x wako. Sasa cjui unataka ushauri wa nn wakati ushajishauri mwenyewe.
 
We inaonekana una msimamo wa kumwoa x wako. Sasa cjui unataka ushauri wa nn wakati ushajishauri mwenyewe.

Ahsante kwa ushauri wako lakini hilo wazo bado halipo fikirani mwangu ila ni vyema kutembua na kushukuru aliekutendea mema kama tunapo tembua haraka mabaya na mbaya wetu.
Kweli amenidharau na ameninyayasa ila siosababu nimchukie vibaya.Nataka nimheshimu kisha niendelee na mipango yangu
 
Mi naona ni bora uendelee na mipango yako ya ndoa. Kuhusu huyo x wako mwambie tu ukweli kuwa kachelewa kukupa taarifa na wewe tayari upo katika hatua nyingine ya maisha. Lakini kubali kuilea hiyo mimba na mtoto akikua mchukue mtoto uendelee kuishi nae,as well as uliye naye sasa anajua maswahiba yaliyokupata si mbaya akilijua na hilo la mtoto. Nina imani utakuwa umesolve!
 
Mmh we umetoka nchi gani??.. But anyway km ulishaamua kuachna na vya zaman bas achn navyo. Km alikuwa na mimba yako alikuwa wap cku zote!!? Na vip km c yako?
 
Sasa kama kuandika tu hujui,utaweza kweli kuishi na mwanamke ndani?
 
We jaribu kukumbuka mabaya yake tu muda wote, haohapo kumbuka mazuri tu ya huyu wa sasa. Nakuhakikishia utamsahau tu
 
Nashukuru nyote !!!!!!!! Mchango wako Na utathmini ....Ntamka Asubuhi na muafaka
 
siwezi kusahau chochote mpaka nihakikishe raisi wangu ajae anaapishwa twende na lowassa
 
Lakini tutambue uo mtoto akizaliwa anataka apate haki kutoka kwa baba. Na mimi najijua kipato changu hakiniruhusu kuhudumia family mbili wakati moja.

wewe mzee! Sema naam, iyo mimba ni yako? Maada naona harufu ulikuwa unapasha kipolo sasa kile so long as ujaoa kwanza subiri. Dah x wengine watamu sana mpaka umeshindwa kumsahau? Nakushauri usioe kwa fashen chagua kifurushi unachokipenda. infact icho cha zamani maana nimekusoma tamanio lako
 
Kaka ataishi na mke ni wewe alafu kumbuka kuingia na mtu yoyote simply bc alikuhifadhi ulipotendwa ni janga wewe kaa fanya uchunguzi ujue kama huo ujauzito ni wako au si wako then listen to u heart kati ya hao wa 2 ninani wampenda kabisa ambae unahitaji kuspend nae maisha yote ukishaamua oa uko njia panda fanya uamuzi wa busara maana unaeza muacha wa kwanza kumbe momba yako utakuwa umemkosea mtoto na mama au akawa sio mwanao ukamuacha sec one na ukawa umepigwa changa.
 
Unaweza ukala matapishi yako? Huyo kinachomuuma ni hiyo ndoa yako. Halafu anataka apate uhakika wa huduma ya mtoto. We mwite mwambie ukweli kwamba huna time nae ila huduma zamtoto utampelekea kama kawaida. Na ni vizuri ukamweleza mkeo mtarajiwa kama una mtoto wa miaka 2. Ila usimwambie kama kuna mtu ana ujauzito wako. Kwa sababu akijua mwenyewe itakua hatari zaidi. Na akitaka kumwona mtoto mwambie yupo bush na mama yake. Ila conentrate na mkeo mtarajiwa vilevile lea mimba.
 
Hamna haja ya kumsahau mpenzi wako wa zamani,infact muweke karibu siku mkeo yupo kwenye mzunguko wake wa mwezi unaenda kwa X unapiga kiurahisi tu!

Ndivyo mm huwa nafanya,sikai mbali hata siku moja na X wangu,wana faida sana wanakuokoa siku una kiu
 
Bro hiyo mimba ni ya kwako? Isije ikawa classic case ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Kaka ataishi na mke ni wewe alafu kumbuka kuingia na mtu yoyote simply bc alikuhifadhi ulipotendwa ni janga wewe kaa fanya uchunguzi ujue kama huo ujauzito ni wako au si wako then listen to u heart kati ya hao wa 2 ninani wampenda kabisa ambae unahitaji kuspend nae maisha yote ukishaamua oa uko njia panda fanya uamuzi wa busara maana unaeza muacha wa kwanza kumbe momba yako utakuwa umemkosea mtoto na mama au akawa sio mwanao ukamuacha sec one na ukawa umepigwa changa.

Nashkuru na mawazo yako

Unaweza ukala matapishi yako? Huyo kinachomuuma ni hiyo ndoa yako. Halafu anataka apate uhakika wa huduma ya mtoto. We mwite mwambie ukweli kwamba huna time nae ila huduma zamtoto utampelekea kama kawaida. Na ni vizuri ukamweleza mkeo mtarajiwa kama una mtoto wa miaka 2. Ila usimwambie kama kuna mtu ana ujauzito wako. Kwa sababu akijua mwenyewe itakua hatari zaidi. Na akitaka kumwona mtoto mwambie yupo bush na mama yake. Ila conentrate na mkeo mtarajiwa vilevile lea mimba.
Siamini kama kweli anashida ya kuhudumia uo mtoto. yeye ex anakzi nzuri hana shida ya pesa .Na my present Lover yeye hana maringo. Ukweli hhilo sijalifikiria lakini ntalifanyi kazi kwa umakini
 
Bro hiyo mimba ni ya kwako? Isije ikawa classic case ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia

Pengine io mimba ni ya kwangu.Nilikua naye siku zote sijawahi kugundua na udaganyifu wake yoyote. ila kwa ukweli sirahisi kukubali siku hizi Wanawake wengi wa Dar ni wa sanii.Na anafahamu wapi wa kunishika
 
Back
Top Bottom