Ndoa sio favor wala hisani, kuwa na mimba yako sio tiketi ya kumuoa yeye. Endelea na mipango yako.
Akijifungua, subiri mwanao aache kunyonya ukamchukue mwanao.
Ukiamua kumsahau unaweza ila umeamua kujiendekeza kutomsahau.
Hamna haja ya kumsahau mpenzi wako wa zamani,infact muweke karibu siku mkeo yupo kwenye mzunguko wake wa mwezi unaenda kwa X unapiga kiurahisi tu!
Ndivyo mm huwa nafanya,sikai mbali hata siku moja na X wangu,wana faida sana wanakuokoa siku una kiu
Naliona mm pia...mtoto sio sababu ya kumfanya afunge ndoa...anampenda...Kwani akizaliwa huko nje huduma za mtoto zinakua mara mbili?
huyo unaetaka kumuoa hamtazaa kwakua kipato kidogo?
okay ninachokiona unampenda sana huyo ex, huna ubavu wa kusema hapana juu yake
unatafuta vijisababu vya kumrudia
ushauri wangu: fata moyo wako
We inaonekana una msimamo wa kumwoa x wako. Sasa cjui unataka ushauri wa nn wakati ushajishauri mwenyewe.
Endelea kupiga,huyo ni wako banaUkinishauri niendelee nae basi itakua najiweka kitanzi mwenyew na hapo siamini kama ntapata wahisani kunihurumia.Si kila mtu anao makalima mazuri ya udanganyifu.
Naaa mkumbushe kuwa huenda ht mimba ikawa si yake au ikawa haipo kabisaa likawa ni trick tu....wanawake sisI ni wajanjaa...