Mzee_2015
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 255
- 58
Wakuu naomba ushari wenyu.
Nilikua napenzi wangu wa zamani nilikua napenda sana.Tulikuja kutengana kwa wivu mapenzi .Nilifanya jitahidi zote nipate amani ili nilinde penzi letu.Lakini alikua ananipoteza muda Kila wakati namtafuta ili tujadili penzi letu kisha tusameheyane alikua anajifanya hupo bizy kuonana nami hatimae nimeamua kuendelea na harakati zangu.
Kwa bahati nzuri nimekutana na mrembo kuliko ule wa mwanzo kwa kua napenda kulinda heshima yangu na kulinda utu ya mpenzi wangu niliona ni vyema kufunga pingu za maisha.wakati nipo katika harakati yule Ex mpenzi alikuja kwa styli nyingine anaomba msamaha kisha anataka tufunge ndoa haraka ka vile tayari amenasa ujauzito wangu.
Nilishindwa kumpa jibu naa hyuu mpenzi wangu wa sasa ananijali na anajua masahibu yalionitokea mwanzoni. Wakuu wa JF inakuaje huu mpenzi wangu wa zamani kweli amenitendea wema? kuficha ujauzito? Na kweli hii inakubalika katika maecha ya kisasa ?
Niendelee na maadalizi yangu ya Kunfunga ndoa au nirudi nyuma?
WENYE MATUSI TAFADHALI KAA MBALI NA UZI HUU