Unawezaje Kuhama chuo kikuu fulani kwenda kingine baada semester?

La-Ranger

Member
Apr 27, 2021
22
13
Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer.

Kama iko naombeni msaada maana SuA imenimaliza natamani kwenda Ardhi au MUST Kama Kuna uwezekano plz nijuzenii......🤲🙏
 
Reactions: p2k
SUA imekumalizaje?
 
Siku hizi candidate anajichagulia Chuo, tofauti na zamani. Ni Nini kinakufanya uhame na ulichagua mwenywe?!
 
Its possible, fuatilia namna ya kutransfer credits kutoka chuo ulichopo kwenda hivho unachoamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…