unaweza wajua hawa

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
kwa wale wa DAR enzi zile unaweza kuwajua hawa ni akina nani
 
Attachments

  • scan0001.jpg
    scan0001.jpg
    96.2 KB · Views: 684
Safi sana aisee!
No mkorogo; ngozi asilia kabisa.
Ila kuna mmoja hapo kikwapa kina msitu wa pande kiana...
 
NA kweli wa Dar! mie nilidhani DArisalama, maana sijaona picha za wana kindakindaki wa Darisalama hapo! na hicho si kinywaji chao!
 
NA kweli wa Dar! mie nilidhani DArisalama, maana sijaona picha za wana kindakindaki wa Darisalama hapo! na hicho si kinywaji chao!

kaka angalia vizuri hiyo picha watatu kushoto ni marehemu Christina Moshi (Moshi NDEKEKULE) wa mwisho ni Halima Saidi au Mama Kibanda alikuwa maarufu sana Maquiz du Zaire,hao ndio walikuwa mabinti wa kwa Macheni enzi hizo
 
Back
Top Bottom