Unaweza ukawaamini wapinzani tena?

Unaweza ukawaamini wapinzani tena?

Huna mambo mengine ya kuongea, watanzania walishaamua awe fisadi awe vyevyote vile walimpa kura milioni 6, wewe bado unangonjera zilezile kweli sikio la kufa halisikii dawa.
Kura hizo 6m zilizimpeleka Ikulu huyo MTU wenu fisadi?
 
Hivi kama watu hamna cha kuandika si bora mngekuwa mnaleta hadithi za Juma na Uledi tu tukajua moja.. kila siku jambo lile lile, mada ile ile, mtu yule yule mpaka manaonekana kama majingaaa flan hv.. its better to stay quite lather than expose your stupidtyy
Jibu hoja, au ndiyo kushindwa kiutu uzima
 
Hawa ndugu zetu walipaza sauti kwa miaka zaidi ya miaka 7 wakituaminisha kuwa Lowasa ni fisadi.

Wakatembea karibu nchi nzima na list yao of shame wakidai kuwa wanaushahid juu ya list hiyo kuwa wote waliotajwa kwenye hiyo ni hatari kwa kwa nchi.

Mungu si athumani baada tu Lowasa kuhamia kwao wakaamua kumsafisha uchafu wote waliompigia, bila kutuambia lini walimtoa kwenye list of shame? , na Kwa kigezo kipi? .

Na kama hakusika kwann waliamua kumsingizia? . Sasa kama waliweza kumsingizia Lowasa kwa kiasi kile wakidai wana Ushahidi, unaweza ukawaamini wapinzani tena?

Hata sasa wanavyowatuhumu wabunge wa CCM walihongwa kupitsha mswaada wa sheria ya habr yataka moyo kuyaamini hayo wanenayo maana wako vizuri kukanusha yaani si mchezo.

Maana hata hawa wabunge wakihamia kwao wanaweza kusafishwa. Wanatuhumu mengi kuhusu serikali hii ya awamu ya tano kama list of shame ilkuwa ya uongo hata hayo Wanatuhumu usiyaamin yanaweza kuwa ya uongo.
Hawa ni mabingwa wakubuni uongo na kukanusha
Hivyo Hivyo twambie wewe kigezo cha kuiamini serikali ya ccm
 
Pia Usisahau kwamba Wakati Wapinzani Wakidai LOWASSA Ni Fisadi CCM Walikataa Katakata. Ila Baada Tu LOWASSA Kuhamia Upinzani CCM Wakakubali Kwamba LOWASSA Ni Fisadi Tena Inabidi Afikishwe Kwenye MAHAKAMA YA MAFISADI. Mahakama Ambayo Hadi Leo Haina Tofauti Na Ule Wimbo Wa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA Au Ule Wimbo Mwingine Uitwao MNIOMBEE.
Angalau wao walishaliona hilo akiwa huko kwao, ndiyomaana wanasema hawakumpitisha kugombea urais. Sasa huko kwingine?
 
Hivi wewe unaona kuna upinzani tanzania hapa au kuna wasaka kula ruzuku tuuu. Watu walio kuwa wakishambulia ufisadi halafu sasa hivi wanatokwa povu kutetea na kuzungumzia njaaa na tetemeko.
Mimi sina imani na hawa jamaaa
Una imani na aliyekula rambirambi siyo?
 
Hivi Tanzania kuna wapinzani?Au ni hawa wanaolipukia kitu kimoja kimoja alafu baada ya hapo wanapoa wanasubiri kingine.
 
Wakati wapinzani wanasema Lowassa ni fisadi hamukuwadai ushahidi ili Lowassa apelekwe mahakamani,CCM wanasema Lowassa ni fisadi mpelekeni mahakamani CCM wakathibitishe kwa kuwa ushahidi wanao.
Kwahiyo unakubali wapinzani walisema ni fisadi. Na unakubali kwamba hivi sasa wanasema siyo fisadi. Kwahiyo hapo awali walidanganya, hivi sasa wanasema kweli. Kumbe hawa ni mabingwa wa kudanganya, inawezekana hata haya wanayosema sasa wanadanganya.
 
Hawa ndugu zetu walipaza sauti kwa miaka zaidi ya miaka 7 wakituaminisha kuwa Lowasa ni fisadi.

Wakatembea karibu nchi nzima na list yao of shame wakidai kuwa wanaushahid juu ya list hiyo kuwa wote waliotajwa kwenye hiyo ni hatari kwa kwa nchi.

Mungu si athumani baada tu Lowasa kuhamia kwao wakaamua kumsafisha uchafu wote waliompigia, bila kutuambia lini walimtoa kwenye list of shame? , na Kwa kigezo kipi? .

Na kama hakusika kwann waliamua kumsingizia? . Sasa kama waliweza kumsingizia Lowasa kwa kiasi kile wakidai wana Ushahidi, unaweza ukawaamini wapinzani tena?

Hata sasa wanavyowatuhumu wabunge wa CCM walihongwa kupitsha mswaada wa sheria ya habr yataka moyo kuyaamini hayo wanenayo maana wako vizuri kukanusha yaani si mchezo.

Maana hata hawa wabunge wakihamia kwao wanaweza kusafishwa. Wanatuhumu mengi kuhusu serikali hii ya awamu ya tano kama list of shame ilkuwa ya uongo hata hayo Wanatuhumu usiyaamin yanaweza kuwa ya uongo.
Hawa ni mabingwa wakubuni uongo na kukanusha
Haya mambo muulize magufuli aliyefungua mahakama ya mafisadi.alafu amekosa wafungwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .ukawa wajanja walishamuomba lowassa msamaha mapema.wakampa agombee urais bhado wewe kumuomba msamaha.
 
Haha hah fedha kweli noma kumb had ummetub
 
Hivyo Hivyo twambie wewe kigezo cha kuiamini serikali ya ccm
Tulianza kuamini wapinzani tukijua ndo wkomboz lkn baada ya kujua nao niwasaka tonge tukaona hamna haja ya kutoka ccm. Maana zimw likualo halikuli likakwisha
 
Hivi kama watu hamna cha kuandika si bora mngekuwa mnaleta hadithi za Juma na Uledi tu tukajua moja.. kila siku jambo lile lile, mada ile ile, mtu yule yule mpaka manaonekana kama majingaaa flan hv.. its better to stay quite lather than expose your stupidtyy
Hata Sikiri na Sadiki.zinaahirisha stress.
 
Hawa ndugu zetu walipaza sauti kwa miaka zaidi ya miaka 7 wakituaminisha kuwa Lowasa ni fisadi.

Wakatembea karibu nchi nzima na list yao of shame wakidai kuwa wanaushahid juu ya list hiyo kuwa wote waliotajwa kwenye hiyo ni hatari kwa kwa nchi.

Mungu si athumani baada tu Lowasa kuhamia kwao wakaamua kumsafisha uchafu wote waliompigia, bila kutuambia lini walimtoa kwenye list of shame? , na Kwa kigezo kipi? .

Na kama hakusika kwann waliamua kumsingizia? . Sasa kama waliweza kumsingizia Lowasa kwa kiasi kile wakidai wana Ushahidi, unaweza ukawaamini wapinzani tena?

Hata sasa wanavyowatuhumu wabunge wa CCM walihongwa kupitsha mswaada wa sheria ya habr yataka moyo kuyaamini hayo wanenayo maana wako vizuri kukanusha yaani si mchezo.

Maana hata hawa wabunge wakihamia kwao wanaweza kusafishwa. Wanatuhumu mengi kuhusu serikali hii ya awamu ya tano kama list of shame ilkuwa ya uongo hata hayo Wanatuhumu usiyaamin yanaweza kuwa ya uongo.
Hawa ni mabingwa wakubuni uongo na kukanusha
Sio wapinzani...sema CHAGADEMAS

Back
Top Bottom