Tunutu kiwavi
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 528
- 215
Hawa ndugu zetu walipaza sauti kwa miaka zaidi ya miaka 7 wakituaminisha kuwa Lowasa ni fisadi.
Wakatembea karibu nchi nzima na list yao of shame wakidai kuwa wanaushahid juu ya list hiyo kuwa wote waliotajwa kwenye hiyo ni hatari kwa kwa nchi.
Mungu si athumani baada tu Lowasa kuhamia kwao wakaamua kumsafisha uchafu wote waliompigia, bila kutuambia lini walimtoa kwenye list of shame? , na Kwa kigezo kipi? .
Na kama hakusika kwann waliamua kumsingizia? . Sasa kama waliweza kumsingizia Lowasa kwa kiasi kile wakidai wana Ushahidi, unaweza ukawaamini wapinzani tena?
Hata sasa wanavyowatuhumu wabunge wa CCM walihongwa kupitsha mswaada wa sheria ya habr yataka moyo kuyaamini hayo wanenayo maana wako vizuri kukanusha yaani si mchezo.
Maana hata hawa wabunge wakihamia kwao wanaweza kusafishwa. Wanatuhumu mengi kuhusu serikali hii ya awamu ya tano kama list of shame ilkuwa ya uongo hata hayo Wanatuhumu usiyaamin yanaweza kuwa ya uongo.
Hawa ni mabingwa wakubuni uongo na kukanusha