Unaweza ukapiga mpaka ukaua.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
{MWALIMU};Kati ya akili na pesa unachagua nini?{MWANAFUNZI};Mi nachagua pesa.{MWALIMU};We mjinga kweli,mimi ningechagua nipate akili!. {MWANAFUNZI};Sikushangai hata kidogo kwa kuchagua akili kwani siku zote mtu huchagua kitu asichokuwa nacho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom