Unaweza ukamtambua huyu !!?

Unaweza ukamtambua huyu !!?

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
IMG_20180409_000702.jpeg
 
tundu onbthe left side?
mkuu kwan ww umekaa upande gan au cm yko umeibinua
 
Abdul nondo kushoto kabla hajawa mweusi
 
Tundu lissu na mimi kulia hapo..

Kweli maisha ni SAFARI, SERENGETI NI VITUO VYA UTALII TU
 
Huyo wa kulia mrefu sana kutoka kiunoni adi miguuni,akiendesha baiskeli lazima magoti yaguse kwenye sterling.
 
Huyo ndiye aliyesema acacia hawawezi wakailipa tanzania trilllion million 400, lakini alikuwa mpumbavu sana kwasababu tayari tanzania wameshalipwa trilllion 400 na acacia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom