unaweza ukabisha ila haya ndio yanayotokea kwenye makanisa yetu siku hizi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
PASTOR:"Bwana asifiweeee!"
WAUMINI:"Ameeeen."
PASTOR:"Haya,tafadhalini sasa toeni;iPad,tablet na simu zenu,ingieni google msearch Yohana 3:16 msome.Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea mahubiri.Kwa wanaotumia Facebook,Twitter,BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri kupitia accounts zangu.Msiwe na wasi mnaweza kutumia Wi-Fi ya kanisa kwa uhuru........Halleluuuuuuyah!"
WAUMINI:"Ameeeeni."
PASTOR:"Wapendwa sasa ni wakati wa kutoa sadaka,kama hukubeba cash unaweza tumia Credit card,pia hapo nje karibu na choo kuna ATM machine ya KCB,Equity na Baclays unaweza enda kuwithdraw pap! Uje mtolee mungu......Pia unaweza kutoa sadaka
kupitia Mpesa na Airtel Money kwa namba unazoziona kwa screen. WAKATI WA MATANGAZO.
PASTOR:"Matangazo ni kama yafuatavyo:- *Wiki hii jumatano saa kumi tutakuwa na ushirika {fellowship} katika group yetu ya facebook...tafadhali msikose kulogin huo wakati. *Siku ya Alhamisi kutakuwa na mafundisho ya bibilia moja kwa moja kupitia Skype. *Jumamosi tutakuwa na crusade 2go katika room ya Mombasa1....msikose kuingia hiyo room ili tuhubirie
ambao hawajaokoka. *Kama una tatizo unahitaji maombi tafadhani andika kwenye wall yangu ya fb...ama ni poke
nitakukumbuka kwenye maombi. *Kwa mahubiri na mafundisho zaidi nifollow katika twitter.
 
PASTOR:"Bwana asifiweeee!" WAUMINI:"Ameeeen." PASTOR:"Haya,tafadhalini sasa toeni;iPad,tablet na
simu zenu,ingieni google msearch Yohana 3:16
msome.
Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea
mahubiri.
Kwa wanaotumia Facebook,Twitter,BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri
kupitia accounts zangu.Msiwe na wasi mnaweza
kutumia Wi-Fi ya kanisa kwa uhuru........Ha
lleluuuuuuyah!" WAUMINI:"Ameeeeni." PASTOR:"Wapendwa sasa ni wakati wa kutoa
sadaka,kama hukubeba cash unaweza tumia Credit
card,pia hapo nje karibu na choo kuna ATM machine
ya KCB,Equity na Baclays unaweza enda kuwithdraw
pap! Uje mtolee mungu......Pia unaweza kutoa sadaka
kupitia Mpesa na Airtel Money kwa namba unazoziona kwa screen. WAKATI WA MATANGAZO.
PASTOR:"Matangazo ni kama yafuatavyo:- *Wiki hii jumatano saa kumi tutakuwa na ushirika
{fellowship} katika group yetu ya facebook...tafa
dhali msikose kulogin huo wakati. *Siku ya Alhamisi kutakuwa na mafundisho ya bibilia
moja kwa moja kupitia Skype. *Jumamosi tutakuwa na crusade 2go katika room ya
Mombasa1....msikose kuingia hiyo room ili tuhubirie
ambao hawajaokoka. *Kama una tatizo unahitaji maombi tafadhani andika
kwenye wall yangu ya fb...ama ni poke
nitakukumbuka kwenye maombi. *Kwa mahubiri na mafundisho zaidi nifollow katika
twitter.

Kanisa la ukweli, cant wait to join.
 
nakumbuka niliwai kwenda kanisani kipindi flan nilikuja tz mchungaji akasema ni aibu sana kijana wa kanisa hili kuolewa na kanisa LINGINE IVO YAWAPASA KUOANA HUMU KWA HUMU haya bada ya hapo tukaambiwa tusalimiane kwa kushikana mikono basi si kutekenywa huko... ....ila sio yote najua ila hilo nililoenda mm kiboko ...
wiki iliyofata nikawa nimeenda tena mitaa hiyo nikaingia tena kanisani pale nikakuta kuna mkaka anataka kuoa ila hana pesa ivo waumini tukamchangia mahari na kitanda eti mchungali anasema hela ndogo itakuaje kanisa kubwa tushindwe sadaka na kikanisa kidogo (hapo analinganisha na kikanisa kidogo kiko mtaa wa pili sasa sijui alijuaje kama wao zao nyingi wanakusanya)....makanisa yamebadilika sana tena haya yanayoanzishwa tu mara trust god... mara ufalme wetu ....toka hapo nikija huko siendi kanisani tena ( haya yenye majina ya ajabu ,,,yani hata kama kanisa langu liko mile mia itabidi tu nisafiri kulifata )
 
basi juzi kulikua na siku ya watoto Katika matangazo ya mchungaji akaonyesha package mbili moja akasema ina cd za watoto nyingine ina vitabu vya kufundishia watoto akasma ni nzuri na ameshaangalia na kila package ni sh 10000 mi nilikua mmojawapo wa kununua package zote uliza nilichokutana nacho ni calender za 2001,2002 audio cd za nyimbo za watoto,vhs za mahubiri,cassete za mwk 2001 sasa kwa wakati huu unaenda kuangalia wapi vhs au mpaka tena ukaiconvert to vcd nilichoka kweli kama mtu anaweza kufanya biashara ya aina hiyo kanisani
 
umeona eeh! yani siku izi makanisa mengi yamegeuka kama mtaji wa watu
 
PASTOR:"Bwana asifiweeee!"
WAUMINI:"Ameeeen."
PASTOR:"Haya,tafadhalini sasa toeni;iPad,tablet na simu zenu,ingieni google msearch Yohana 3:16 msome.Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea mahubiri.Kwa wanaotumia Facebook,Twitter,BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri kupitia accounts zangu.Msiwe na wasi mnaweza kutumia Wi-Fi ya kanisa kwa uhuru........Halleluuuuuuyah!"
WAUMINI:"Ameeeeni."
PASTOR:"Wapendwa sasa ni wakati wa kutoa sadaka,kama hukubeba cash unaweza tumia Credit card,pia hapo nje karibu na choo kuna ATM machine ya KCB,Equity na Baclays unaweza enda kuwithdraw pap! Uje mtolee mungu......Pia unaweza kutoa sadaka
kupitia Mpesa na Airtel Money kwa namba unazoziona kwa screen. WAKATI WA MATANGAZO.
PASTOR:"Matangazo ni kama yafuatavyo:- *Wiki hii jumatano saa kumi tutakuwa na ushirika {fellowship} katika group yetu ya facebook...tafadhali msikose kulogin huo wakati. *Siku ya Alhamisi kutakuwa na mafundisho ya bibilia moja kwa moja kupitia Skype. *Jumamosi tutakuwa na crusade 2go katika room ya Mombasa1....msikose kuingia hiyo room ili tuhubirie
ambao hawajaokoka. *Kama una tatizo unahitaji maombi tafadhani andika kwenye wall yangu ya fb...ama ni poke
nitakukumbuka kwenye maombi. *Kwa mahubiri na mafundisho zaidi nifollow katika twitter.

what a mass ni balaaa...
 
Mchungaji kachukua kapu la sadaka na kuchambua aina ya fedha zilizopo, akasema “Nikitazama Kapuni, naona Nyoka tuu, akiwa na maana kuwa kuna TSh 500 nyingi , na akasema, hamjui kutoa tsh 500 ni kutoa Nyoka kwani ndio noti pekee yenye alama ya nyoka” akaamuru utoaji wa sadaka urudiwe huku akiangalia noti za 5,000.00 na 10,000.00 baada ya hapo akapiga maombi ya kuombe ile sadaka.
 
Mchungaji kachukua kapu la sadaka na kuchambua aina ya fedha, akasema “Nikitazama Kapuni, naona Nyoka tuu, akiwa na maana kuwa kuna TSh 500 nyingi , na akasema, hamjui kutoa tsh 500 ni kutoa Nyoka kwani ndio noti pekee yenye alama ya nyoka” akaamuru utoaji wa sadaka urudiwe huku akiangalia noti za 5,000.00 na 10,000.00 baada ya hapo akapiga maombi....

Ndo maana mi sina ushkaji na wachungaji bali nna ushkaji na mapadre. Hawana makuu, mnapiga cheers kaunta kama kawa!!
 
hahahhaaa kazi ipo na maknisa yetu!!!
Asprin hao ni simba waenda pole......
 
Last edited by a moderator:
Labda ila sijui ingawa biblia zitapungua

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kaaaaazi kweli kweli.
Kinachonishangaza sio antics za hao wahibiri,kinachonishangaza ni hao wanaohudhuria huko.
 
hicho ulichoandika ni kitu cha kawaida sana kwenye makanisa mengi hapa tz na ni njia moja wapo tena fast acurate accessible easy and upstandard ya kuhubir injili jaribu kusearch makanisa mengi mapasta musicians na watumishi wengine wana ac na sit zinazotumika kugospel we unayesema unamazoea na padri wao wanayo software programme ambayo ina2nza data za muumin mmojammoja kama amebatizwa lin komunio kiaimara ndoa zaka na alot of stuff na unaweza kuiview kwenye web ya kanisa so sio pentecost tu ata nyie mnayo dat sema hujui kusema wa2mish wa mungu ndo mnajua katolik ni taasis yenye utajiri hamna mfano wake dunian lakin hamsemi pastor flan kanunua chopa mnapanua domo na hukumu bila facts yatawashinda!
 
ndo maana mi sina ushkaji na wachungaji bali nna ushkaji na mapadre. Hawana makuu, mnapiga cheers kaunta kama kawa!!

ulijuaje maana huku kwetu tupo nao kwenye vitochi vya mbege kwenda mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom