unaweza ukabisha ila haya ndio yanayotokea kwenye makanisa yetu siku hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unaweza ukabisha ila haya ndio yanayotokea kwenye makanisa yetu siku hizi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Saint Ivuga, Sep 30, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,330
  Likes Received: 11,064
  Trophy Points: 280
  PASTOR:"Bwana asifiweeee!"
  WAUMINI:"Ameeeen."
  PASTOR:"Haya,tafadhalini sasa toeni;iPad,tablet na simu zenu,ingieni google msearch Yohana 3:16 msome.Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea mahubiri.Kwa wanaotumia Facebook,Twitter,BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri kupitia accounts zangu.Msiwe na wasi mnaweza kutumia Wi-Fi ya kanisa kwa uhuru........Halleluuuuuuyah!"
  WAUMINI:"Ameeeeni."
  PASTOR:"Wapendwa sasa ni wakati wa kutoa sadaka,kama hukubeba cash unaweza tumia Credit card,pia hapo nje karibu na choo kuna ATM machine ya KCB,Equity na Baclays unaweza enda kuwithdraw pap! Uje mtolee mungu......Pia unaweza kutoa sadaka
  kupitia Mpesa na Airtel Money kwa namba unazoziona kwa screen. WAKATI WA MATANGAZO.
  PASTOR:"Matangazo ni kama yafuatavyo:- *Wiki hii jumatano saa kumi tutakuwa na ushirika {fellowship} katika group yetu ya facebook...tafadhali msikose kulogin huo wakati. *Siku ya Alhamisi kutakuwa na mafundisho ya bibilia moja kwa moja kupitia Skype. *Jumamosi tutakuwa na crusade 2go katika room ya Mombasa1....msikose kuingia hiyo room ili tuhubirie
  ambao hawajaokoka. *Kama una tatizo unahitaji maombi tafadhani andika kwenye wall yangu ya fb...ama ni poke
  nitakukumbuka kwenye maombi. *Kwa mahubiri na mafundisho zaidi nifollow katika twitter.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,906
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Duh.................
   
 3. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utandawazi!
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda lol
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Kanisa la ukweli, cant wait to join.
   
 6. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nakumbuka niliwai kwenda kanisani kipindi flan nilikuja tz mchungaji akasema ni aibu sana kijana wa kanisa hili kuolewa na kanisa LINGINE IVO YAWAPASA KUOANA HUMU KWA HUMU haya bada ya hapo tukaambiwa tusalimiane kwa kushikana mikono basi si kutekenywa huko... ....ila sio yote najua ila hilo nililoenda mm kiboko ...
  wiki iliyofata nikawa nimeenda tena mitaa hiyo nikaingia tena kanisani pale nikakuta kuna mkaka anataka kuoa ila hana pesa ivo waumini tukamchangia mahari na kitanda eti mchungali anasema hela ndogo itakuaje kanisa kubwa tushindwe sadaka na kikanisa kidogo (hapo analinganisha na kikanisa kidogo kiko mtaa wa pili sasa sijui alijuaje kama wao zao nyingi wanakusanya)....makanisa yamebadilika sana tena haya yanayoanzishwa tu mara trust god... mara ufalme wetu ....toka hapo nikija huko siendi kanisani tena ( haya yenye majina ya ajabu ,,,yani hata kama kanisa langu liko mile mia itabidi tu nisafiri kulifata )
   
 7. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  basi juzi kulikua na siku ya watoto Katika matangazo ya mchungaji akaonyesha package mbili moja akasema ina cd za watoto nyingine ina vitabu vya kufundishia watoto akasma ni nzuri na ameshaangalia na kila package ni sh 10000 mi nilikua mmojawapo wa kununua package zote uliza nilichokutana nacho ni calender za 2001,2002 audio cd za nyimbo za watoto,vhs za mahubiri,cassete za mwk 2001 sasa kwa wakati huu unaenda kuangalia wapi vhs au mpaka tena ukaiconvert to vcd nilichoka kweli kama mtu anaweza kufanya biashara ya aina hiyo kanisani
   
 8. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umeona eeh! yani siku izi makanisa mengi yamegeuka kama mtaji wa watu
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  what a mass ni balaaa...
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mchungaji kachukua kapu la sadaka na kuchambua aina ya fedha zilizopo, akasema “Nikitazama Kapuni, naona Nyoka tuu, akiwa na maana kuwa kuna TSh 500 nyingi , na akasema, hamjui kutoa tsh 500 ni kutoa Nyoka kwani ndio noti pekee yenye alama ya nyoka” akaamuru utoaji wa sadaka urudiwe huku akiangalia noti za 5,000.00 na 10,000.00 baada ya hapo akapiga maombi ya kuombe ile sadaka.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,263
  Likes Received: 10,880
  Trophy Points: 280
  Ndo maana mi sina ushkaji na wachungaji bali nna ushkaji na mapadre. Hawana makuu, mnapiga cheers kaunta kama kawa!!
   
 12. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hahahhaaa kazi ipo na maknisa yetu!!!
  Asprin hao ni simba waenda pole......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Za Asubui
   
 14. Root

  Root JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,849
  Likes Received: 5,092
  Trophy Points: 280
  Labda ila sijui ingawa biblia zitapungua

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kaaaaazi kweli kweli.
  Kinachonishangaza sio antics za hao wahibiri,kinachonishangaza ni hao wanaohudhuria huko.
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,536
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaaa!!! Aisee...hi ni brand new!
   
 17. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  hicho ulichoandika ni kitu cha kawaida sana kwenye makanisa mengi hapa tz na ni njia moja wapo tena fast acurate accessible easy and upstandard ya kuhubir injili jaribu kusearch makanisa mengi mapasta musicians na watumishi wengine wana ac na sit zinazotumika kugospel we unayesema unamazoea na padri wao wanayo software programme ambayo ina2nza data za muumin mmojammoja kama amebatizwa lin komunio kiaimara ndoa zaka na alot of stuff na unaweza kuiview kwenye web ya kanisa so sio pentecost tu ata nyie mnayo dat sema hujui kusema wa2mish wa mungu ndo mnajua katolik ni taasis yenye utajiri hamna mfano wake dunian lakin hamsemi pastor flan kanunua chopa mnapanua domo na hukumu bila facts yatawashinda!
   
 18. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 42,724
  Likes Received: 8,095
  Trophy Points: 280
  Yameshaanza kutokea majuu tayari.
   
 19. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,018
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kanisa la leo.
   
 20. A

  ADK JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 950
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  ulijuaje maana huku kwetu tupo nao kwenye vitochi vya mbege kwenda mbele
   
Loading...