Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 718
- 1,539
- Thread starter
- #41
Corse ni nayotaka kupiga ni shipping and Logistics TransportKuna chuo kipo Kenya kinaitwa Africa Nazarene University (ANU)wana kozi nyingi kwenye Open and distance learning mode yaani unasoma na kufanya mitahani online ushindwe wewe tu! vyuo vikuu vya dizaini hii vimejaa tele japo inategemea unataka kozi gani maana kozi kama udaktari uhandisi, kwa kifupi kozi za sayansi kusoma fully online ngumu sababu zina mafunzo mengi sana kwa vitendo yanayotaka kuwe na physical contacts ila kama ni kozi za sanaa, biashara, sheria, ualimu kozi za fully online and distance learning mode zimejaa teleeeeeee. Kila la kheri.