Unaweza pata msaada wa kisheria mtandaoni.

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Poleni na majukumu wana JF, kwa kupitia LINK hiyo hapo chini unaweza pata msaada wa kisheria, hasa sheria za kimataifa ni bure hakuna malipo yoyote yale....fuata hizi process
1) Fungua hiyo link
2) Nenda chini kabisa ktk hiyo website
3) Click haya maneno "ASK A LAWYER"
4) Sasa utakuwa tayali kuuliza swali lolote
5) Nautajibiwa.
Easy Legal Forms & Contracts for Wills Leases and More ¦ LawDepot
 
Back
Top Bottom