Wewe una miaka mingapi?Wakuu
Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?
Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Kaka oa mplekee moto tu akichoka kuzaa uta zaa wewe!Hunitakii mema,35 yrs Mimi atanizalia watoto wangapi?
Mwanangu unataka umchukue mke wangu? Mfano gani huo wewe size yako shemeji yangu huyu Binti Sayuni03 Anastasia21Si bora nichukue saizi yangu kama huyu Anastasia21
Kwa hao mabinti tutashikana mashati, mabinti wote hao ni wangu.Mwanangu unataka umchukue mke wangu? Mfano gani huo wewe size yako shemeji yangu huyu Binti Sayuni03 Anastasia21
Sekretari ndege unasemaje? Hivi wadau humu mnauchu sana eeeh... Sweetheart Anastasia21 njoo tuondoe utata hapa mwingine na pia Shemeji Binti Sayuni03 una utani na huyu sekretari ndege?Kwa hao mabinti tutashikana mashati, mabinti wote hao ni wangu.