Unaweza kuwatambua Jamaa hawa?

Unaweza kuwatambua Jamaa hawa?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,069
Reaction score
25,173
Hii picha ilipigwa kati ya mwaka mwaka 1961 na 1963. Unaweza kuwatambua hao jamaa wawili wanaosalimiana?

1593064332285.png
 
Sijaelewa hapo unaposema ilipigwa 1961 na 1963
 
Picha moja imepigwa kwa miaka 2 tofauti?? .....hapo Sijakuelewa mkuu.
 
Nilidhani Roberth Kennedy Ila kweli huyo Ni JFK kipenzi Cha Ulimwengu
 
Bill Clinton huyo mwingine nimemtambua baada ya aadau wa juu kumtaja.
 
Back
Top Bottom