Unaweza kuwa na namba za simu za mchumba wa rafiki yako?

mm kuna rafiki anguu aliwahi niuliza :huwa unajisikia vibayaa shemej akiniuliziaa ?sikumjibu kituu nikaondokaa
Ulifanya vyema kutomjibu ila alipata jibu kwa ukimya wako. Nna jamaa yangu mmoja nimemsaidia sana kwenye mengi, ghafla nikaona ameanza mazoea ya kuuliza na kumuongelea KE wangu, nikashtuka nikahisi kuna namna sio bure kuwa anamuulizia na kumuongelea sana lazima kuna kitu. Haikuisha hata mwezi KE ananiambia jamaa anamtaka. Chanzo ni ukaribu
 
nahilo ndo tatizoo maana ukaribu ukizii lazima hatma yake itakuw hivyo kuna time bora mtu akuone unawivuu 😕
 
Kama nitakuwa nayo mawili
1) Aliwahi kuwa mchepuko wangu sasa wa rafiki yangu.
2) Namuweka kwenye line kumla shemegi.
3) Hatuna la kuongea na shemegi delete faster.
 
Back
Top Bottom