Unaweza kuvuka mto wewe ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Hapa ukiteleza tu , kifo !
 

Attachments

  • VUKA HUKO.jpg
    VUKA HUKO.jpg
    18.8 KB · Views: 337
ama kweli ukistaajabu ya kivuko cha kilombero..................
 
Mambo ya Scout na Girl guide hayo, sijui kama taasisi hizi bado zipo..

Serikali ya ccm haizitilii mkazo tena taasisi hizi kwani hawajui kuwa uscout na uguide vilikuwa vinawafundisha vijana stadi muhimu za maisha ambazo vijana wa leo wanazihitaji kwa maisha yao!!
 
Mbona wamewaraisishia ilibidi wacroo kwa kutumia kamba ila kwa kuwa ni wanafunzi iyo inawatosha
 
kuna sehemu iringa kabla hujafika aljezera wanatumia kivuko kama hiki jaman kuvuka mto ruaha chini kuna mamba
 
Mambo ya Scout na Girl guide hayo, sijui kama taasisi hizi bado zipo..

Siku hizi kuna na Girl Scouts, nazo zimekumbwa na ufisadi pia. Wanawapeleka vijana ambao si wanachama nje ya nchi kwa malipo. Soma hii: Tanzanians who sought `asylum` in US face deportation (:: IPPMEDIA).
 
Back
Top Bottom