unaweza kuvaa hii...?

unaweza kuvaa hii...?

Jamani kama haiwa fit waache inao wafit wavae, to me hiyo wametengenezewa wenye mabusha hapo hawatabanwa na watakluwa wameepuka kuvaa misuli au mnafurahia wenzenu kuvaa misuli kila siku? bora madesigner wamewakumbuka hao maana walikuwa hawawezi kuvaa modal wala jeans.
Wenye mabusha wote jamani kivazi hicho mmeletewa nendeni mkatoe oda kwa designer msiseme ooh sie kila siku misuli tuu sijui le leleleleee.......................

Tunazungumzia hiyo Sweatshirt ilivyochorwa. wewe unaangalia kitu gani mwenzetu?
 
Back
Top Bottom