Unaweza kurusha ngumi kama ni wewe

TONGONI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
1,041
373
article-2240898-1648BC35000005DC-866_964x441.jpg

Ghosting into the box: Kenny Dalglish and Sir Alex
Ferguson recreate the famous Demi Moore and Patrick Swayze scene from the film
Ghost, as drawn by James Husbands for a new calendar
article-2240898-1648BC0B000005DC-679_964x669.jpg


Maid in France: Arsenal boss Arsene Wenger, as drawn by
Husbands, dusting the Gunners' empty trophy cabinets

article-2240898-1648BC26000005DC-593_470x386.jpg


Yee-haw: Roberto Mancini wears his trademark scarf to just
the right length (left) - Jim Morrison, anyone? - and new Queens Park Rangers

article-2240898-1648BBFB000005DC-318_470x386.jpg


boss Harry Redknapp (right) recreating Kylie's Agent Provocateur advert...

article-2240898-1648BC14000005DC-220_964x644.jpg

White Horse Lane: Spurs manager Andre Villas-Boas is
riding up the Premier League with his in-form team
 

Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,362
430
hiyo ya daglish inaelezea mengi sana.
there is so much happening btn liverpool and Man U behind the scenes
 

KIKUNGU

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
850
578
hiyo ya daglish inaelezea mengi sana.
there is so much happening btn liverpool and Man U behind the scenes

You are right Sita Sita but on personal terms not like used to be in the late 90's between Sir Alex (Man United) and Kevin Keegan(Newcastle United)
 

TONGONI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
1,041
373
haidhuru wewe si mwanasoka

Aaaaah wapi ni jambo usilolijua tu hakuna kitu napenda kama soka....Nimekuwa nikipenda soka hata kabla Mogella kuja simba...Cameroon ilipowika Italy ..George Weah kuwa Mwafrika wa kwanza kuwa mchezaji bora wa Ulaya na Afrika na dunia "Zingatia hizo ni tunzo tatu tofauti' na kuna wachezaji kama Henry..Anelka nimekuwa nikiwafuatilia toka wakiwa France U21....Enzi za AJAX ya kina Finidi George...Marc Overmars.....WC ilipochezwa USA...Marehemu Rashid Yakini alipowiki...Emmanel Amokach......Olympic Nigeria walipowatoa nishai Argentina.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom