Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,811
- 2,483
Napo pia itategemeana na aina ya kifo kama kitatokana na shambulio lolote nitapambana kwanza kuokoa uhai wake na wangu pia.Kama unaye mmoja?
Na kama ni kutokana na issue za kimatibabu nitakubali kupoteza kiungo changu huku nazingatia na uhai wangu kwanza. Zaidi nitapiga magoti na kusali mbele za Mungu ili nimkabidhi kwake salama. Ibrahimu alipoombwa sadaka ya mtoto hakujitoa yeye kwa ajili ya mwanaye alimtoa mtoto jiulize why?