Nimewahi kuona gazeti moja hapa hapa bongo mtoto kampeleka mzee wake mahakamani ili achukue usimamizi wa mali zote ..anamsingizia mzee wake ana matatizo ya akili.
Hio familia ni ya wahindi wana makampuni mengi hapa bongo..
Sasa mtoto wa hivyo unaweza kumfia kweli??
Soma hio attachmentView attachment 1188530
Hardship za kimaisha sio lethal.Risasi ikishakupata ukavuta unajua yule mtoto unamwacha kwenye mazingira gani?
Unamwachia mateso,msoto wa miaka mingi sana
Una akili finyu sana ndugu.Unamuachia mtoto nae aishi,wewe mzazi umeisha tosha kuishi,sio mtoto wako tu,kuna mtu anaweza kujitolea maisha kuokoa mtoto hata kama si wa kuzaa yeye,
Kila nafsi itaonja mauti muda wake ukifika, acha afe kwa maana kalenda yake imefika, ili wewe ulee wanaobaki mpaka muda wako utakapofika. fully stop.Swala sio kufa tu je ukifa ataishije?
Wadogo zake na ndugu zake?
Bora afe yeye mimi nitazaa mwingine familia itasonga mbele. Unaweza kufa afu familia ikapotea milele
Hapo unazungumza ukiwa na mtoto mmoja wa pekee au hata una zaidi ya mmoja?u can tell me nothing inapokuja swala la sacrifice kwa wanangu...i'll do anything for them Kama ni majambazi wanasema choose yourself utangulie wanao wabaki au tuwatangulize wao...i'll take that chance, how can i live without that smile of my Son...aseee sijioni nikiweza kuishi bila yeye.
Ni bora nitangulie ila sio atangulie mbele ya macho yangu..can not allow such thing.
Pengine ukishakuwa na mtoto utabadili mawazoMimi sina mtoto lakini nahisi kwa jinsi ninavyojifahamu. Siwezi kufa kwa ajili ya mtu yoyote narudia tena MTU YEYOTE..
Na mimi sitaki mtu yyte afe kwa ajili yangu..
Every life matters...hakuna ambaye ni special zaidi ya mwenzake..
Ndio maana mimi siwezi fanya kazi za ubodyguard au usalama wa taifa maana siwezi kufa sababu ya mtu hata awe rais.
Mkuu unaweza kutuambia kwa nini baba na sio mama? Kwa sababu watoto wako upande wa mama na nyie wababa hamuwapendi?I can die for my father, kama natakiwa kutoa figo zote, basi tazitoa kwa ajili ya baba yangu
kuhusu mtoto dah sijui!!
watoto wengi siku hizi wako upande wa mama zao, nafikili hili swali linawafaa sana wamama.