Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,576
Hivi hata Mungu naye angeamua kutumia logic na siyo emotions unadhani binadamu tungeendelea kuwa hai hata baada ya kutenda dhambi na kumkosea vya kutosha?
Sawa sisi ni binadamu na siyo Mungu lakini tukumbuke kuwa alituumba kwa mfano wake ili tuige matendo yake na tunaweza ila shetani tu ndiyo ametudanganya kuwa hatuwezi!
Sawa sisi ni binadamu na siyo Mungu lakini tukumbuke kuwa alituumba kwa mfano wake ili tuige matendo yake na tunaweza ila shetani tu ndiyo ametudanganya kuwa hatuwezi!
Thats why machines sometimes makes better decisions sababu they do not involve emotionally au hata wanyama sometimes
mfano Sungura akiona kuna predator anazengea sana anaweza kula watoto wake hio ni survival instinct akijua kwamba kuzaa atazaa tena kuendeleza uzao ila uwepo wa hao watoto ni hatari kwa kizazi
Ukiwa na watoto wawili wote wanakutegemea ukaamua wewe ufe wabaki wawili ili wakose huduma na baadae wafe ni bora kuliko huyo mmoja ambae akiondoka probability ya wa pili ku-survive ni kubwa ? You decide and welcome to logical thinking without emotions