Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

Unaweza kupigwa risasi kwa niaba ya mwanao?

u can tell me nothing inapokuja swala la sacrifice kwa wanangu...i'll do anything for them Kama ni majambazi wanasema choose yourself utangulie wanao wabaki au tuwatangulize wao...i'll take that chance, how can i live without that smile of my Son...aseee sijioni nikiweza kuishi bila yeye.

Ni bora nitangulie ila sio atangulie mbele ya macho yangu..can not allow such thing.
Aisee hongera
 
Ohhhppppssss.....
Haya ndio madhara ya kukoment huku niko tufurahi day, yaani hadi nikakusahau babe, nikadhani kuna mkuu namkuot.
Tatizo lako na wewe umefanana sana na baba mkwe wangu...teh[emoji28]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Maneno yanaumba, na pia imeandikwa ''usimjaribu bwana Mungu wako'' sisi wazazi hatupendi kuweka nadhiri isiyo kuwa na sababu.. Ikitokea hali unayoizungumzia basi adrenaline itafanya kazi yake.
Sawa mkuu
 
Nyumbani kunatokeaga najikuta kun chakula cha kutosha mtoto mmoja tu na wao wapo wawili.

Pia nipo mimi baba na mama yao.

Hivyo ninachofanya ni kula hicho chakula chote mimi baba ili nipate nguvu ya kwenda kuwatafutia wote.

Naipenda familia yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I'd catch a grenade for them,
Throw my head on a blade for them,
I'd jump infront of a train for them,
I'd do anything for them,
I'd go through all the pain,
Take a bullet straight through my brain,
Yes I would die for them all,
Hope they would do the same.
 
I can die for my father, kama natakiwa kutoa figo zote, basi tazitoa kwa ajili ya baba yangu

kuhusu mtoto dah sijui!!

watoto wengi siku hizi wako upande wa mama zao, nafikili hili swali linawafaa sana wamama.
Umeshajiuliza ni kwanini watoto wengi wa siku hizi wapo upande wa mama zao kuliko baba zao?
 
Back
Top Bottom