Unaweza Kupata Mapenzi Ya Kudumu ?

Ahsante kwa darasa bikra

na wewe umeahidi kuwa bikra mpaka siku ya ahadi ifike? Au umeamua kurudisha bikira upya
 
Hey Bikra, mapenzi ya kudumu yanapatikana.

Itunze sana hiyo bikra, ubarikiwe na uzidi kujazwa hekima.
 
Naahidi kuitunza Bikra yangu ila niko peke yangu nazidiwa nguvu na waliotia nia kuivunja na muko wengi

Bikra hutunza na mtu pekee ukitaka ushirikiano ina maana uzinduzi ufanyike. Nguvu lazima zikuzidie maana you are searching for true love..
Idumu Bikra zako zote maana haipo moja!..
Asante kwa article yako..
 
Unaniombea dua mbaya BJ, bikra haitunzwi milele. Umefika wakati muafaka wa kuizindua.

UM Inawezekana milele nimepitiliza ila nilimaaisha itunze kadri uwezavyo. Nimekusoma unasema unaitunza(I hope ni kweli)! Siku ya uzinduzi hutasahau,zindua na umpendae! Maana mapenzi ya kudumu yapo na yanapatikana..Hii ni Dua nzuri
 
Asante kwa ushauri, niko tayari kwa uzinduzi, kilichobaki ni kupata wa kuizindua, mwanamke wa kuizindua. Sichagui sura, rangi, kabila, dini, kiwango cha elimu n.k; ninachojali zaidi ni chemistry baina yetu.
 
Bikra hutunza na mtu pekee ukitaka ushirikiano ina maana uzinduzi ufanyike. Nguvu lazima zikuzidie maana you are searching for true love..
Idumu Bikra zako zote maana haipo moja!..
Asante kwa article yako..

Ha ha ha ha BJ, why did you go there? :) umenivunja mbavu kweli kweli...LOL! Siku zote unawaza nanino tu!
 
Ha ha ha ha BJ, why did you there? :) umenivunja mbavu kweli kweli...LOL! Siku zote unawaza nanino tu!

BAK siyo hivyo,ukimsoma vizuri Bikra mwenyewe utacheka for sure!
Name: Bikra
status:Searching 4 true love
Location:Mwilini-Kokote
Ndo maana nikamjibu vile ukijumlisha na mada pia kuzidiwa kwa nguvu kwakuwa yupo peke yake,LOL!..Nonino, ha ha ha
 
Asante kwa ushauri, niko tayari kwa uzinduzi, kilichobaki ni kupata wa kuizindua, mwanamke wa kuizindua. Sichagui sura, rangi, kabila, dini, kiwango cha elimu n.k; ninachojali zaidi ni chemistry baina yetu.

Haya kila la kheri UM!..Kuwa mvumilivu mpaka itokee chemistry baina yako na huyo mwanamke vinginevyo jitunze hivyo hivyo!
 
Asante sana, pengine chemistry ni baina yako na mimi. Naomba iwe kheri kama huna mwenza. Kama unaye, basi nitaendelea kuvumilia. Lots of thanks for your concern though.
 
Ukweli nina mwenza,nakuombea na wewe upate mwenza maana hamna mtu anayetaka kuwa peke yake (sikiliza hata wimbo wa nobody wants to be lonely-ricky martin christina aguilera). Again, all the best UW!..
Asante kwa kushukuru,you're welcome!

NB:Unaweza kupata mapenzi ya kudumu na yapo!
 
Asante sana bibie, you are a darling.

Subira huvuta heri, nasubiri kupata mke mwenye mapenzi ya kweli na ya kudumu. Mimi nina mapenzi ya kweli na ya kudumu, nitampatia.
 
Back
Top Bottom