Unaweza kujitoa kwenda vitani kulipambania taifa lako ikitokea wakihitaji nguvu kazi zaidi?

Investo

JF-Expert Member
May 19, 2020
538
1,138
Hapa moja kwa moja tunaongelea uzalendo juu ya taifa lako, tukiangalia mfano mkuu katika Vita Kati ya Urusi na Ukraine, bwana Putin akitoa voluntary na mwisho wa siku ikawa lazima. Vipi kibongo bongo wewe unaweza kujitoa?
 
Watu watalipambania taifa lao. Maana hapo humpambanii kiongozi bali ardhi yenu na urithi wenu.
Siyo kwa nchi za Afrika. Uende vitani, urudi umekuwa mlemavu halafu baada ya muda kuna mtu kabinafsisha bandari kwa waarabu milele (wanasema mkataba). Mkataba gani hauna ukomo? Kuna watu wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, atakayenilazimisha atakuwa wa kwanza kumlamba risasi kwanza.
Nikisikia vita, nikuchukua familia haraka sana na kukimbia nje ya nchi.
 
Hapa moja kwa moja tunaongelea uzalendo juu ya taifa lako, tukiangalia mfano mkuu katika Vita Kati ya Urusi na Ukraine, bwana Putin akitoa voluntary na mwisho wa siku ikawa lazima. Vipi kibongo bongo wewe unaweza kujitoa?
Labda kama tutaongozana na wanasiasa Wala nchi pamoja na watoto zao sio nikafe huko huku wengine wanagawana keki
 
Back
Top Bottom