Huyu jamaa amenikata maini zaidi
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni. tuendelee na mjadala
dah! huyu jamaa namkubali sana.....anaijua kazi yake