Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

Mkuu mim nna magoli 9...lengo ni had 2022 niwe na magoli 20...mwezi huu nafungua goli la 10

Nilianza i think 2019 mwishon.

Mpaka 2023 nataka yawe 30...hapo ntakua nauwezo wa kufanya chochote nachotaka..hata nikitaka jenga nyumba mpya ya 35m kila baada ya miez 3 ntakua na uwezo huo...
Duh upo vizuri mzeebaba
 
Kwa mtaji laki 3, faida kwa siku laki. Hujatoa mapato na matumiz
Kuandika hapa ni rahisi ila ingia nayo kwenye hizi kazi wanazodai kupata laki kwa siku na ameshatoa matuzimizi na kodi za tra ndio utajua hujui..Hakuna biashara ambayo ni rahisi hata kama una mtaji wa milioni 50+ si rahisi kiasi hicho, Istoshe watu wanaoingiza hio hela hata huwezi kuwakuta huku wakibwabwaja maana hawana huo muda wa kuja humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri inategemeana na ulipo.
Ila kiujumla gengw ni biashara ya kuzugia home pasikae bure ipatikane hata hela ya kula.
Genge biashara ya kuzugia kwa serious investor. Tena sio biashara ni kubangaiza na hawa ndio wanatakiwa waseme wako kwenye mihangaiko.
Sasa imagine mtu analinganisha investment ya 30M na na genge la laki ngapi sijui.
 
sio kweli, nna kaka angu ana nyumba katumia milion sabini kama na zaidi kujenga, ina sehemu ya familia tatu, yaan vyumba viwili sebule jiko choo master na public, kila upande anachukua kodi laki tatu, yaan kwa mwezi laki Tisa, kuna uzio kabisa,na mbele ana fremu ya biashara mtu analipa efu 70,, bado ukijenga nyumba ya maana na sehemu nzuri, ni biashara aswaa kaka angu,, kajenga Maeneo ya ununio

Mkuu, umehesabia gharama ya kiwanja hapo ununio? Maana hesabu sio kujenga tu, lazima upige hesabu ya hiko kiwanja pia...

Maana gharama ya hiko kiwanja tuu, angewekeza sehem nyingne, angeweza kupata zaidi ya anachopata kwenye hizo nyumba.
 
Genge gani unawekeza 200k unapata 300k kwa mwezi? Ushawahi ona muuza genge aliyeyoboa kimaisha wapi, yani si ingekuwa unaweka 2M unapata 3M kwa mwezi magenge tofauti.

Ngoja nikwambie bimkubwa walifunga ofisi last year kwa corona akaamua afungue genge kuvutia kasi, akawa ananambia genge halina faida nikabisha kwa nyuzi kama hizi humu. That time Majaliwa kafunga vyuo nilikuwa free nikamwambia niachie mimi wewe umezoea viyoyozi.

From my experience hakuna genge la kuwekeza 200k ukapata 300k kwa mwezi. Uko serious unalinganisha investment ya 50M vs 300k!
Tulia kwanza. Soma uelewe sio unajaza page tu. Genge,M-pesa ni aina tu ya biashara ndogo ambazo ZINAWEZA kukupa faida kubwa zaidi ya pango la nyumba ya 50m.
 
Wabongo bhana! Genge, M-pesa ni mfano tu wa biashara ndogo zinazoweza kukupa hela kubwa kuliko Kodi ya pango la nyumba ya 50m.
 
Dah nazidi kujifunza wakuu, nazid kujifunza

Ujue sisi ambao tulikuwa tumesoma ma kozi magum magumu huku kwenye ulimwengu wa biashara huwa wengi hatuko vizuri lakini ukijipa muda ukakubali kufundishika aisee

Usinambie ooh hiyo mbona hesabu rahisi tu ndio utekelezai sasa

Na huo ni mfano tu, kuna scenario nying tu.

Unafungua ka mini supermarket kazuuuri umetumia labda Tsh8m kwa mwezi faida labda 800k. Mwenzio hapo hapo pembeni ana genge katumia mtaji wa Tsh 2m or Tsh 1m anakukunjia faida 1m monthly

Aisee kuna visheria vya biashara sisi ambao hatuna misingi ya elimu ya business inabidi tukubali kujifunza

Naamini ukifuata taratibu za kibishara unatoboa vizuri tu.

Naendelea kujifunza tena na tena

Uzi umeandikwa baada ya kuwa inspired na mzee mmoja hivi nimepita ofisini kwake leo Mwenge hapo..dah..mzee huyu ana nyumba kama 40 hivi ananambia mwanangu ningekuwa na knowledge enzi hizo kama niliyokuwa nayo sasa kuhusu biashara ningekuwa mbali sana

Anasema yeye alikuwa anajenga majumba tu anapangisha, anawekeza hata Tsh 100m nyumba ambayo mwisho wa siku kodi analipwa lets say 700k wakai kwa sasa fremu yake ya biashara moja tu yenye mtaj wa lets say Tsh 15m inamuingizia faida ya mpaka Tsh 1m weekly.

Anasema anawish hizo nyumba mtaji wote huo angeugawa huku tho now ana frem zaidi ya 50 Dar pekee bado mikoani. Huyu mzee ni bilionea ila ukimkuta kwenye maduka yake huwezi gundua.

Ndio anaweza kopea mikopo hizo nyumba ila yeye mwenyewe anasema kuwekeza kwenye majumba ni biashara kichaa na ya woga.

Uzi tayari.
Hoja yako si yakweli, katiba biashara ambazo ziko secured ni real estate na Truser bond

Hoja yako ina onesha hujawahi fanya biashara uone risk ya biashara ilivyo, katika biashara ambayo iko secured ni Real Estate na Turesur

Katika biashara ambayo iko secured ni Real Estate na Treasure bond,naongea by experience mimi nimejenga nyumba 3 kwenye kuwanja kimoja,zile nyumba zina thamani ya million zaidi ya mia mbili lkn ile pesa sikutoa pamoja nimejenga for three years, na ninapata laki 5 kila nyumba moja, lkn kwa kipindi hicho kwenye biashara nimeisha pata hasara na kuanguka mtaji unakufa, unapambana una anza moja lkn zile nyumba zipo na ile pesa kidogo kidogo niliyo kua nawekeza kwenye nyumba bado ningeweza kutumia kwenye vitu vingine na kujifarifi nyumba sio kitu, ina maana leo ningekua sina kila kitu sina nyumba sina biashara, Real Estate uki ifanya smart uka nunua kiwanja sehemu nzuri ni biashara lkn pia ndio nssf yako ukiyumba
 
Nadhani kwenye uwekezaji wa nyumba ni unatakiwa uchukulie kwamba hela iliyotumiwa kujengea ni kama umeiweka(fixed account) na kuiweka huko inakuingizia kipata kutokana na kodi.
Pia kadiri muda unavyoenda thamani yake inapanda hivyo kama ukitaka kuiuza hautauza kwa thamani ileile uliyotumia kujengea.
Sahihi. Umehifadhi hela yako. Ndio tunasema umezika pesa.
 
Nadhani kwenye uwekezaji wa nyumba ni unatakiwa uchukulie kwamba hela iliyotumiwa kujengea ni kama umeiweka(fixed account) na kuiweka huko inakuingizia kipata kutokana na kodi.
Pia kadiri muda unavyoenda thamani yake inapanda hivyo kama ukitaka kuiuza hautauza kwa thamani ileile uliyotumia kujengea.
Sahihi kabisa mkuu.
 
Humu kuna watu hawana adabu kabisa na bado wanakomaa. Wanalinganisha uwekezaji wa real estate na magenge ya nyanya, vibanda vya M-Pesa.

Biashara ambayo ukiumwa malaria wiki tu inakufa yote unailinganisha na investment ambayo ni less risk kama real estate. Wajenzi wa nyumba hawana mawazo haya ya kutafuta faida kwa kasi, wengi wao wanalenga kuwekeza just in case mambo yakipinda.

Samsung na assets zake za hundreds of billions of dollars na technology zao zote wanawekeza kwenye real estate ila humu watu wanaipondea kisa wanamiliki duka sijui bar. Wanaofanya biashara ngumu zenye pesa, huwa wanatafuta biashara nyepesi isiyoumiza mojawapo ni hii.
 
You have nailed it, totally...
 
sio kweli, nna kaka angu ana nyumba katumia milion sabini kama na zaidi kujenga, ina sehemu ya familia tatu, yaan vyumba viwili sebule jiko choo master na public, kila upande anachukua kodi laki tatu, yaan kwa mwezi laki Tisa, kuna uzio kabisa,na mbele ana fremu ya biashara mtu analipa efu 70,, bado ukijenga nyumba ya maana na sehemu nzuri, ni biashara aswaa kaka angu,, kajenga Maeneo ya ununio

Huyo kaka yako kwa mtaji wa 70M kwa mwezi anaingiza kama 1M kwa mwezi. Ili arudishe hela yake itamchukua karibu miaka 6. Niliwahi kufanya biashara ya maji kwa mtaji wa 42M nikiatoa dar na kuuzia mwanza, Mara na Geita, kwa mwezi nilikua napata karibu 6M ya faida. Kwa mwaka mmoja tu nilikua napata hio 70 na mtaji wangu bado upo. Kama nisingeifilisi biashara hio kwa ujinga wangu leo hii ningekua bilionea. Ukiwa na mtaji mzuri anza biashara kwanza alafu jenga nyumba kwa faida inayotoka kwenye biashara.
 
Bro stop wishing...it was meant for you to get a lesson thought that first investment. At the moment you make wise decisions because you have experienced a bitter truth of losing money at first. Without that schooling you would have never learned anything in business. I am currently learning business and trust me every day is a new lesson day. I got no regret!
Kabisa mkuu
 
Genge gani unawekeza 200k unapata 300k kwa mwezi? Ushawahi ona muuza genge aliyeyoboa kimaisha wapi, yani si ingekuwa unaweka 2M unapata 3M kwa mwezi magenge tofauti.

Ngoja nikwambie bimkubwa walifunga ofisi last year kwa corona akaamua afungue genge kuvutia kasi, akawa ananambia genge halina faida nikabisha kwa nyuzi kama hizi humu. That time Majaliwa kafunga vyuo nilikuwa free nikamwambia niachie mimi wewe umezoea viyoyozi.

From my experience hakuna genge la kuwekeza 200k ukapata 300k kwa mwezi. Uko serious unalinganisha investment ya 50M vs 300k!
Watu wanatajirikia kwenye magenge..we unaongea nn...sema hivi..hukutumia akili ma principle za biashara..wew na bimkubwa wako mlikurupuka...nyie ndo mnaenda weka baga vingungut kwa mnyaman halaf mnakuja ohhj biashara haiend.mtalia sana..tunanunua vtu magengen humo kila siku unaangalia mtaji wa mwenye genge unasema hapa lazima 2m imekatika..msitufanye watu ni wapumbafu...kun vijana goba uwanjan pale wamemwaga products za gengen chin..kila kitu.magunia na magunia..niliwahoji sku1 wakanambia hapa bro weekdays mauzo ni 400k weekend had 1m ...kama huamini baki hvyo hvyo..hatuko hapa ku impress watu sabab hauna unachomsadia mtu..tuko kuelimishana...mi na umri wangu huu mdogo nipate 50m nijenge nyumba ya biashara kodi lak4 ni upumbavu...ntafanya hvyo nikifika 45
 
Back
Top Bottom