Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

Kama ni bilionea inamaana ujanani hakufanya makosa, aliwekeza vizuri ndio maana pesa anazo sasa.

Nyumba kibiashara ni asset nzuri maana unaweza kusanya kodi na nyumba hiyo hiyo ukachukulia mkopo bank na kodi unayokusanya ikalipa sehemu ya rejesho.

Ukiwa na nyumba za kupanga kama mbili tatu, kisha ukawa na utaratibu wa kulipwa fedha kupitia bank ili kukuza mzunguko wako wa kukopesheka umaskini wa uzeeni utauaga.
 
Nyumba za kupangusha ni nzuri kama mtu anapesa za kifisadi hakuna namna ya kuziwwka benk.

Hata kama sio za kifisadi lakini ji nyingi hazina matumizi baai badala ya benk wekeza kwenye nyumba, shule nk

Pili nyumba za kupanga ni asset ya mda mrefu mavuno ni taratibu lakini ya mda mrefu

Sawa na kilimo cha miti na korosho au mahindi na maharage

Kama ndio unaanza biashara ni bora ufanye kwanza na sio uanze na nyumba za kupanga
 
sio kweli, nna kaka angu ana nyumba katumia milion sabini kama na zaidi kujenga, ina sehemu ya familia tatu, yaan vyumba viwili sebule jiko choo master na public, kila upande anachukua kodi laki tatu, yaan kwa mwezi laki Tisa, kuna uzio kabisa,na mbele ana fremu ya biashara mtu analipa efu 70,, bado ukijenga nyumba ya maana na sehemu nzuri, ni biashara aswaa kaka angu,, kajenga Maeneo ya ununio
Dada elewa mada..milion 70+ kiwanja ununio =ngapi..kwa mwezi tuseme hlo jengo lake limpe 1.5m

Sawa...ila hyo 70m+ ...kwa mzoefu wa biashara ...na ndomana nilisisitiza kwamba kamaa sio mzoefu wa biashara ni bora ukajenga tu nyumba etc nunua viwanja for future...ila hyo 70m kwa mzoef pale kkoo ukimpa..ndani ya miez mi3 anakuletea faida ya 50m...trust me

Ila angalizo ni lile lile...only experienced business men can do that.
 
Ulipoanza kuandika uzi nilijua na wewe Tapeli kama wale wa Q-net ila nilipoanza kuusoma na kufika kati nikaelewa unachoongea ni 100 percent kweli.

Binafsi nina nyumba mbili hapa mjini zina vyumba 15k kabla ya kukarabati nililuwa napokea kodi 30k kwa mwezi kwa kila chumba jumla 450,000/= kwa mwezi sasa nimekarabati na kuweka tiles na gypsum nakuja 60k kwa mwezi kwa kila chumba sawa na 900,000/= kwa mwezi na mwakani nina mpango wa kufanya vyumba 10 kuwa self contained na kupangisha na kupangisha 100k kila chumba hivyo kwa vyumba 15 itakuwa 1Milion kwa self contained +300,000/= kwa single room.

Nakuwa nimeongeza mapato kutoka 450,000/= mpaka 1,300,000/= kwa mwezi ndio pesa nitakayo kunja.

Msikilize Jay Z utaelewa tu ,utaelewa kwamba real estate inalipa na risk ni ndogo sana.
 
Biashara ya mpesa nayo ni biashara kichaa tu
Hujafata taratib za biashara ndomana unaiona ni kichaa..ila kuna mtu ana magoli hayo ya mpesa tigopesa etc kama 10 hiv..kamisheni yake kila mwezi kwa kila goli ni kama 700k ..piga magoli yote sasa kwa mwez ana ngap. Ishu ni ku point location ya business yako....ukikosea hapo huwez ona faida ya biashara...ni sawa unaenda fungua burger point bugurun kwa mnyamani au vingunguti.utafel tu
 
Kama ni bilionea inamaana ujanani hakufanya makosa, aliwekeza vizuri ndio maana pesa anazo sasa.

Nyumba kibiashara ni asset nzuri maana unaweza kusanya kodi na nyumba hiyo hiyo ukachukulia mkopo bank na kodi unayokusanya ikalipa sehemu ya rejesho.

Ukiwa na nyumba za kupanga kama mbili tatu, kisha ukawa na utaratibu wa kulipwa fedha kupitia bank ili kukuza mzunguko wako wa kukopesheka umaskini wa uzeeni utauaga.
True dat.
 
Nyumba za kupangusha ni nzuri kama mtu anapesa za kifisadi hakuna namna ya kuziwwka benk
Hata kama sio za kifisadi lakini ji nyingi hazina matumizi baai badala ya benk wekeza kwenye nyumba,shule nk

Pili nyumba za kupanga ni asset ya mda mrefu mavuno ni taratibu lakini ya mda mrefu
Sawa na kilimo cha miti na korosho au mahindi na maharage

Kama ndio unaanza biashara ni bora ufanye kwanza na sio uanze na nyumba za kupanga
Safi sana...yah..kwasisi vijana wa dot com ambao ndo maisha tumeyaanza..kwel nyumba si chaguo sahih unless kama umepiga pesa za ngada na unataka kuzi takatisha
 
Kijana naona akili inabadilika sasa utafika tu. Yaani mtu anajenga nyumba 50m anapangisha apate 300k Kwa mwezi! Unajikuta mwenye kibanda cha m-pesa na mtaji wake wa 2m anakushinda!
Kwani nani alisema mi ninapoenda kujenga nyumba ya 50m nnashindana na mtu? Huyu mwenye kibanda cha mpesa anashinda hapo kibandani full time ndio anapata hiyo pesa, mimi huo muda wa kushinda kibandani sina, ila pesa za kujenga ninazo, sasa unataka na mimi nishinde kibandani?

Wengi wanaowekeza kwenye real estate ni watu ambao wana shughuli nyingine za kufanya ambazo ukimuambia afungue biashara hizi zinazohitaji uangalizi wa karibu yeye hataweza.
 
Ulipoanza kuandika uzi nilijua na wewe Tapeli kama wale wa Q-net ila nilipoanza kuusoma na kufika kati nikaelewa unachoongea ni 100 percent kweli.
Binafsi nina nyumba mbili hapa mjini zina vyumba 15k kabla ya kukarabati nililuwa napokea kodi 30k kwa mwezi kwa kila chumba jumla 450,000/= kwa mwezi sasa nimekarabati na kuweka tiles na gypsum nakuja 60k kwa mwezi kwa kila chumba sawa na 900,000/= kwa mwezi na mwakani nina mpango wa kufanya vyumba 10 kuwa self contained na kupangisha na kupangisha 100k kila chumba hivyo kwa vyumba 15 itakuwa 1Milion kwa self contained +300,000/= kwa single room.

Nakuwa nimeongeza mapato kutoka 450,000/= mpaka 1,300,000/= kwa mwezi ndio pesa nitakayo kunja.

Msikilize Jay Z utaelewa tu ,utaelewa kwamba real estate inalipa na risk ni ndogo sana.
Ni ukwel ulichoongea wala sipingi.ila hyo 1.3m kwa mwezi kuna kajamaa kanaitengeneza kwa mwezi pia na biashara yake ya mtaj wa 5m...wewe hzo nyumba mbili umejenga kwa mapesa lukuki......

Narud palepale..unahitajika uwe experienced kwenye ulimwengu wa biashara..yaan saana ili kufanya kama hyo mzee anavyoshaur...yeye sabab ana uzoefu wa muda mref nadhan ndomana...guts hzo znaitaj uzoef..yaam uwe na 100m halaf hujawia fanya biashara ...lazima utajikuta unajenga nyumba tu za kupangisha
 
Back
Top Bottom