uNaWaZa NiNi?

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Wakati unafungua hii thread ulikua unawaza nini?:A S 465:
 
Nilifikiria kuna dili ya hela wengine akili zetu ni kihela hela :happy:
 
Mtoto wa mjini lazima uwaze shilingi:msela:
 
unawaza mbege eeeh,,,:third:
 
nisipowaza mbege nitawaza nini!
Mapenz ahhhh sina hela ya kuhonga

siasa ahhhh polisi walee na mabomu
 
nawaza kuna bonge la kituko, make nina hamu ya kuchekeshwa mbaya!
 
Nawaza ntakaa wapi nkirudi chuo maana naona wameongeza kodi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…