Unawaza nini sasa hivi?

Unawaza nini sasa hivi?

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,006
Reaction score
72,305
Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani? Unawaza kufanya nini? Ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike, ufurahi!
Mimi ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninayempenda, sehemu iliyotulia anishike mkono tutembee wote, anikiss kiss yani nione dunia yangu, anishike kiuno, anibebe anione kama malkia

Unajua kuna watu ukikutana nao hujuti au ukiwa nao hujuti kabisa anakupa raha mwanzo mwisho, lakini kuna mwingine unaweza ujute hata kwanini umeonana nae ama nene

Basi mi nafikiria vitu vizuri vizuri tu au ningekuwa sehemu nakula bata na samsun Complex shunie ICHANA Nyani Ngabu na wengineo wengi hata wale wapekuzi au mapaparazi wa kujitegemea ningependa muwepo tu ili mtupige picha hivi na kutuwekea kumbukumbu au sio.

Basi tu ndio navyofikiria hivi acha nilale tu mie.
1474143473240.png
ujumbe wa usiku huu.
 
Kumbe unapenda viwanja kwa sana ujumbe mzr
 
Mm saiz nawaza tu ni jinsi gani mwenyezi mungu alivo mkarimu.. Kila cku tunamuudhi kwa namna moja ama nyingine ila ukitubu na kumuomba msamaha, anakusamehe kiroho safi.
 
Nawazaaa....natamani ningekuwa on beautiful vacation right now,somewhere in Ibiza...au Hawaii.Just Chillin' and havin' soo much fun ... enjoying every second of the pleasure.
 
Kiukweli mi nawaza JF isingekuwepo je ingekuaje kwa wana harakati uchwara wanao jificha katika key board
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom