MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Acha matusi bwanaaaaaambona we unajiita Lumumba hatukushangai sasa unashangaa nini mtu kujiita Mishil? Mimi Tabora boys hata sikuwa naijua
Sent using Jamii Forums mobile app




Wewe Tabora Boys usiijue, shul aliyosoma Baba wa Taifa kweli. Sheeesh...........




!dah


