Unavuna ulichopanda

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Kitu chenye ncha kali kilichomwangukia kichwa Mama Anna Kilango Malecela ndicho anachostahili. Kudanganya kwa makusudi au kwa uzembe sio sifa ya kingozi makini. Ingawa kuna maneno ya pembeni kwamba sababu za kutenguliwa uteuzi wake zinaweza kuwa zaidi ya hizo, hilo haliondoi maana kwamba alizingua na hastahili nafasi hiyo ya kupewa (kama sadaka) ya ukuu wa Mkoa.

Lakini, kuna yule mama aliyeghushi nyaraka za mahakama na kudanganya umma kuwa mahakama imehairisha uchaguzi wa meya wa jiji. Yule naye vipi?

Yaani unamchapa mtoto wako wa pili kwa kudokoa mboga nyumbani kwako, halafu huyu wa kwanza aliyedokoa mboga kwa jirani unamsitiri, hii inaitwaje kitaalamu?
 
Back
Top Bottom