Unaushauri gani hapa?

Unaushauri gani hapa?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
622
Reaction score
822
Wanangu wajamii forum nnahitaji msaada jamani nifanye nini ili na mimi niache kuogopa madem.. maana kuna mda nnaweza panga nisimamishe msichana lakini akikaribia tu naogopa tena
Nishairini nifanye nin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua kwanza, hayo ya wasichana yatakuja tu!

Tulia nafsi bado haikubaliani na mawazo yako.

Muda muafaka ukifika woga wote utakua historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa Alkasusu ikikuendesha utajua tu kuwatongoza.. wakasusure dada zetu lkn kuna magonjwa Kama HIV ikifuatiwa na AIDS pamoja na UKIMWI ukiambatana na NGOMA ikisindikizwa na UMEME..😜
 
Kunywa Alkasusu ikikuendesha utajua tu kuwatongoza.. wakasusure dada zetu lkn kuna magonjwa Kama HIV ikifuatiwa na AIDS pamoja na UKIMWI ukiambatana na NGOMA ikisindikizwa na UMEME..
Magonjwa small change tu kama corona tu tumeizoea sembuse hiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom