Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Chadema wameonesha udhaifu mkubwa ssana. Walitakiwa wamtose ili tuuone ukomavu wao. Kama lowasa alikua fisadi wakati yupo ccm je leo vipi?
 
CCM wekeni hadharani matamko yote ya Chadema yaliyokuwa yanampinga Lowassa, kwasasa hayana umuhimu wowote kwa watanzania, upepo umebadilika hahahaha.
 
Ndiyoooo kubwa, na tayari nimesha vote hapo juu. Kudadadekiiii, lazima safari hii tucontrol bunge hata kama tutakosa urais
 
Chadema wameonesha udhaifu mkubwa ssana. Walitakiwa wamtose ili tuuone ukomavu wao. Kama lowasa alikua fisadi wakati yupo ccm je leo vipi?

Tumotose kwasababu Zipi, tumemsikiliza Lowasa, tumemuelewa. Fisadi ni mfumo wa CCM siyo Lowasa lazima tuung'oe.
 
Tunahitaji mabadiliko si kujadili watu kwa sababu hakuna aliyemsafi kwenye nchi yetu kwa sasa hivyo EL anaweza kutakata akiwa ikulu
 
Tumotose kwasababu Zipi, tumemsikiliza Lowasa, tumemuelewa. Fisadi ni mfumo wa CCM siyo Lowasa.

Kweli kabisaa, Yan hawa jamaa cjui tunatakiwa kushindilia akili za kujitambua vichwani mwao!!! Walitufisadi katiba pendekezwa ya Warioba, na waliona jinsi mfumo wa kifisadi wa CCM ulivyowalazimisha wabunge kutetea ujinga lakini bado hawa watu hawaelewi. Mfumo wa kifisadi wa CCM umewavuruga akili
 
Chadema wameonesha udhaifu mkubwa ssana. Walitakiwa wamtose ili tuuone ukomavu wao. Kama lowasa alikua fisadi wakati yupo ccm je leo vipi?

Kiongozi tambua kwamba siasa ni mchezo mchafu leo hufai kesho lulu.....lolote linaweza kutokea na Chadema wakafaidikia sana kwa timing hiyo...kiukweli siasa ni hesabu tu
 
Swali lako siyo sahihi ndiyo maana hatupigi kura. Tunaunga mkono Lowassa kwenda UKAWA lakini siyo kuwa mgombea urais
 
Back
Top Bottom